Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin

Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin

Wazungu wanasoma bunge huru la wananchi hapa JamiiForums kwa kutumia google translator, tayari wanaona kumbe hata Tanzania Dr. Tulia Ackson hatoshi sembuse urais wa IPU umemzidi kimo.
 
She speaks very claer english…but she should learn to have self control ,i see nothing with the question adressed to her…!

She is short tempared her self …there was no reasons for that and it was trap question and white man wanted to see how calm she is but she missed that point!!
Yuko sahihi Sana na kawajibu sawa sawia.
 
Huyu ajuza amezoea bunge la akina Kibajaji amekutana na wanaume wa shoka kule hakuna kusifia ujinga ujinga na kupiga makofi, watamshughulikia na alivyo na sura mbaya kama roho ake
Dr Tulia ameongea kwa busara sana na waliouliza maswali ni mazwazwa haswa , Mbunge mzima hajui kwamba president wa IPU haombi ruhusa kwa kokote tkutembelea wajumbe? pili mbunge mzima hajui kwamba president wa IPU alishatembelea Israel na Gaza kabla ? Ningekuwa mimi ningemtukana kidogo huyu beberu kuwa aende library tafute hata magazeti ya siasa halafu aje kuanza kuuliza maswali , Mwisho kawachana kidogo japo sikupenda alivyosema i came from such countries ? yaani Africa poor countries sisi ni matajiri sana tulioibiwa tu na kutokiongoza vizuri
 
Hakuna ni kuwapotezea watu muda ndio maana ka wa refer majibu ya huko nyuma

Ujue kuna wengine walikuwa wanayajua ya huko nyuma aliyojibu ingekuwa wastage of time.kwa majority wanaojua alichoongea huko nyuma .

Kille sio kikao cha uswahilini unaanza kama nilivyosema juzi narudia tena yote niliyosema watu wengine wangeondoka zao kikaoni
Kwa ukomavu zaidi angetoa majibu hayo tena kwa kifupi sana na kutoa references!
 
Toka akiwa mwalimu wangu wa Sheria, na hadi sasa, ninaukubali uwezo wake wa kujieleza na kuzungumza Kiingereza kwa umahiri kabisa.

Hongera sana (Mwaisa) Tulia Ackson Mwansasu (LL.B., LL.M., PhD)
Umetoa pongezi za kipuuzi bwana; tukwambie ukweli tu. Yaani umsifie PhD holder tena kasoma Uingereza kwa kuongea Kingereza? Msifie kwa uwezo wa kujenga hoja, kujibu maswali kwa ufasaha na kutokua biased sio kuongea Kingereza. Wazungu huaga wanajiona wao NDIO binadamu na sister kaweza kuwamudu kwenye eneo hilo, kawauliza kuhusu Sudan, DRC, Gaza, Israel, Yemen etc. Yaani aliwasoma kwanza, I mean motive behind the question asked; kaenda nao ki ulalo ulalo. Hapo kaweza sana binti Mwaisa.
Ambacho sikielewi kwake na kwa wataalamu wengine ambao ni pro CCM; why wakiwaga nje ya nchi elimu zao zinaonekana lakini wakiwa Tanzania huwatofautishi na sisi wa elimu za hapa na pale?🤔😏
 
Kusoma ni swala moja (ata kuelewa majukumu) ya nafasi yako. Ila kwenye international arena (even diplomatic professional setting) communication etiquette ought to be adhered without displaying emotions.

Kuna watu wanachokozwa, wana moderate mabunge korofi huku wakiwa na majukumu ya kutuliza hali bila ya upande wa vyama vyao; saa zingine wao wenyewe wanaweza kaangwa kwenye media inabidi wawe calm.

Speaker kaonyesha mihemko, ajazoea kukaangwa. Kazoea kuendesha bunge rahisi kama la Tanzania ambalo ahojiwi.

It’s just poor behaviour display alivyojibu, regardless ya quality ya majibu yake. You can’t shout.
 
Rais wa Muungano wa Mabunge Duniani (IPU), Tulia Ackson, amewataka wajumbe kumheshimu wakati wa mkutano wa Bunge uliofanyika Geneva siku ya Jumatatu Oktoba 14, 2024.

Mvutano ulianza baada ya Artur Gerasimov, mwakilishi wa Ukraine, kuomba "ripoti kamili ya mchakato" wa mkutano wake na kiongozi wa Urusi, Vladimir Putin, na aliuliza ikiwa maazimio ya IPU kuhusu "uchokozi wa Urusi" yalijadiliwa.

"Nataka sote tukumbuke kuwa hili lilitokea siku chache tu baada ya makombora ya Urusi kuharibu hospitali maarufu ya watoto huko Kiev," alisema Gerasimov, huku mwakilishi wa Canada pia akiunga mkono wito wa majibu.

Kulingana na ripoti za vyombo vya habari, Gerasimov alijaribu mara kadhaa kumkatiza na kuchukua tena nafasi ya kuzungumza, kabla ya Tulia kumwambia: "Umeshazungumza, ulipata nafasi ya kuzungumza hapa. Nipe, niachie muda kwanza kulihutubia baraza kuu, nijibu masuala yaliyotolewa kisha turudi kwenye ajenda."

Ziara hiyo, aliendelea kusema, ilipaswa kuanza na Ukraine. "Ukraine ilijibu siku tuliyokuwa tayari kuwatembelea, [kwamba] Bw. Zelensky na Spika wangekuwa New York kwa ajili ya mkutano wa NATO. Ningewazuia? Hapana, isingekuwa busara, na kwa hali yoyote sina mamlaka hayo," Dkt. Tulia aliendelea kusema.

Pia Dkt. Tulia aliongeza kuwa hakuna atakayemzuia kuhudhuria Mkutano wa BRICS wiki ijayo huko Urusi.

Pia, soma:
Tulia tunaomba utulie na msimamo wako ,pumbavu hao wasikuyumbishe
Umeshindana na mdude sembuse hivo vizungu
 
hongera mama samia kuwatafutia watanzania nafasi za juu za kimataifa ndani ya miaka mitatu tulia yuko IPU dr ndugulile yuko WHO, siku za nyuma watu walikuwa wanabaniwa, utasikia akienda akirudi atagombea
 
My Take
Kuwa tempared na Unaongea kizungu hakuleti ukakasi kama kwa Kiswahili.

Tulia ajifunze kuzuia hasira zake vinginevyo atakuja kupayuka kubwa kuliko 🤣🤣🤣🤣
Mkuu nilitegemea utampongeza Dada yetu
 
Dr Tulia ameongea kwa busara sana na waliouliza maswali ni mazwazwa haswa , Mbunge mzima hajui kwamba president wa IPU haombi ruhusa kwa kokote tkutembelea wajumbe? pili mbunge mzima hajui kwamba president wa IPU alishatembelea Israel na Gaza kabla ? Ningekuwa mimi ningemtukana kidogo huyu beberu kuwa aende library tafute hata magazeti ya siasa halafu aje kuanza kuuliza maswali , Mwisho kawachana kidogo japo sikupenda alivyosema i came from such countries ? yaani Africa poor countries sisi ni matajiri sana tulioibiwa tu na kutokiongoza vizuri
Mkuu viongozi wehu aupo chadema tuh hata uko ulaya
Si mnaona maamuzi yao mengi yanavokua ya hovyo mpk tunashangaa .
 
uzi unaenda vizuri hakujatajwa dini yake , ngoja sasa awe Rais.
 
Ni swali la msingi kabisa kwa sababu Ukraine inaendelea kuls kipondo cha Putin bila hatia.
Ukraine kipondo cha kujitakia. Swali la kijinga sana
Ningekuwa mimi nisingelitolea maelezo. Muulizaji ningemjibu kwa swali Ningemuuliza nilitakiwa nianzie wapi na kwa ulazima gani
 
Yeye anatoa hiyo heshima kwa wengine? Hopeless sana.
 
Back
Top Bottom