samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
Sasa mnampa mchina ujenzi wa barabara kwa bei ndogo eti mchina ni nafuu na bado mnapiga na ten percent mnategemea nini...
Ukitaka kujenga barabara mpe Mmarekani, Mrusi na makampuni ya Europe kwa bei waliyotenda wape guarantee na waambis mjenge kama zinavyojengwa ulaya halafu uone kama utapata huu ujinga..
Kama mna mpa mchina basi hakikisheni kila barabara anatoa guarantee ya 50yrs na sio makampuni haya yakichina yaliyopo hapa sasa..
Cheap is expensive and chinese are the father's of all cheapest products.... Hela zetu ni ndogo halafu tunataka kila barabara iwekwe lami eti tujenge makm meeengi..