Haahaha.. tembea uone.Yeye ndio alijenga barabara substandard, tukawa tunasema ccm wanajali wingi na sio ubora. Utetezi ukawa ni kuwa tunapinga kila kitu. Muda ni mwalimu mzuri.
Amekufa ndiyo. Vilaka alikuwa anaweka yeye, maana alikuwa biz na chato.Mwenye Barabara zake keshakufa.
Sasa ni mwendo wa Movie tu. Full Raha. tunaunguka duniani.
Ona huyu nae. Panua kwanza akili basi. Mweh..Amekufa ndiyo. Vilaka alikuwa anaweka yeye, maana alikuwa biz na chato.
Serikali
Kwani hujui?
Umenikumbusha mbali sana na hilo jinaAzungumzie barabara za mbeya mjini ile barabara ya TANZAM haitoshi ndo maana kuna jam kubwa sana kuanzia soweto mpaka mafiati
Visima vya gesi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Barabara ya kiwira kwenda mwakaleli kwenye visima vya gesi ni aibu mbunge wa kule akili zimo?
Ndio kuna visima vya gesi kuleVisima vya gesi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Rudi shule dogoNdio kuna visima vya gesi kule
Tanzania oxygen ndiko wanachota hiyo gesi
barabara za tz 🤣🤣BARABARA YA DODOMA IRINGA INATAKIWA KUBOMOLEWA. NI ZAIDI YA JANGA
Uwanja wa Ndege wa JKN terminal 2 ulijengwa na kampuni ya Mfaransa (Boygues) ukatumika bila matengenezo yoyote kwa takriban miaka 40. baadaye walikwenda kujenga uwanja mwinginekama huo huko CroatiaSasa mnampa mchina ujenzi wa barabara kwa bei ndogo eti mchina ni nafuu na bado mnapiga na ten percent mnategemea nini...
Ukitaka kujenga barabara mpe Mmarekani, Mrusi na makampuni ya Europe kwa bei waliyotenda wape guarantee na waambis mjenge kama zinavyojengwa ulaya halafu uone kama utapata huu ujinga..
Kama mna mpa mchina basi hakikisheni kila barabara anatoa guarantee ya 50yrs na sio makampuni haya yakichina yaliyopo hapa sasa..
Cheap is expensive and chinese are the father's of all cheapest products.... Hela zetu ni ndogo halafu tunataka kila barabara iwekwe lami eti tujenge makm meeengi..
SerekaliSasa anamwambia nani?