Tulia Ackson: CCM haitoachia Dola KAMWE

Hivi vimtu vishamba vilivyopata vyeo juzi juzi ni vipumbavu havina mfano, vingi vyao vimekulia kwenye umaskini wa kutupa lakini leo vimepata viko busy kuharibu kila kitu tulichopigania kupata uhuru, uchaguzi huru na kubadilishana madaraka kwa amani ni misingi muhimu sana kwa nchi yeyote iliyo huru, hivi vyama vya siasa vinakuja na kuondoka kila siku kama vilabu vya pombe tuu, tusiruhusu wapuuzi kama huyu mama waharibu nchi
 
Ana muonekano mbaya usio na nuru, rangi mbaya she is ugly surely
 
CCM cha cha wanyonge na kinatetea haki zao!!!!Kidumu milele
 
Baadhi ya kauli kama hizi, zinasababisha curses, msije kushangaa watoa kauli kama hizi kuja kuwa cursed na kuchomoka kabla ya wakati kwa sababu neno milele ni mamlaka ya Mungu mwenyewe!.
Kama alichokisema ni 'kweli' (kwa mtazamo wako), Curses za nini tena?
 
Na kwakua mumewe James mwainyekule kateuliwa jana kuwa Mkurugenzi mkuu wa EWURA naona dada anaharisha moja kwa moja. Anatakiwa aelewe tuu hata magufuli alikuwepo lakini leo hii analiwa na mchwa kule chato.
 
pitia hapa CM 1774858

Ova
 
Inawezekana sisi kama raia hatuna uwezo kutokana na nguvu za dola lakini kamwe asisahau Mwenyezi Mungu ni mkuu na lolote linaweza kufanyika kwa wakati wowote mpuuzi mkubwa huyo.
 
Siwezi kumbishia ikiwa wapinzani tunaowategemea ndio hao walamba asali.
 
miradi ya ujenzi wa shule kila kona,
Miradi ya ujenzi wa shule bila walimu wa kutosha mna akili nyinyi?

Mkiambiwa muongeze idadi ya walimu mashuleni mnakaza shingo

Tulia Akson emu jiulize hili swali

Mnajenga magofu bila walimu wa kutosha hao wanafunzi watafundishwa na mawe?
 
Kuna spinning za kufa mtu zinaendelea!kuna mshindo Gani unakuja!!?

Kule Mwanza Mjoli,kisiwani Daktari!

Sawa sawa!

Walichelewa Sana kuruhusu mikutano ya hadhara!

Bora wameruhusu
 
Ujeuri na viburi walivyonavyo ni kutokana vyombo vya dola kuwa nyuma yao kuwafanyia dhuluma na ukatili wananchi lakini ajue hakuna kilichokuwa na mwanzo kikakosa kuwa na mwisho.
Na kama ipo hivyo basi atambue kuwa ipo siku yeye atakufa na kuiacha ccm
 
HATA MAGUFULI alisema yeye ni JIWE leo lipo wapi?
 

Ni lazima viongozi wa Tanzania waelewe kwamba Nchi hii pamoja na kuwa na KATIBA MBOVU NA DUNI , lakini bado inaendeshwa kwa kufuata sheria za nchi na Taratibu zilizoainishwa.

Kauli ya Kijinga aliyoitoa Tulia Ackson huko Zanzibar kwamba ccm haitoachia madaraka milele haiwezi kunyamaziwa , tutaipinga kwa nguvu zote tena bila kumung'unya maneno.

Labda kwa faida ya WanaJF na Watanzania wengine ni kwamba, huyu Tulia Ackson ni Mwanasiasa Duni na mchanga ndani na nje ya ccm , ni mwanasiasa asiye na mchango wowote kwenye nchi hii wala hakuwahi kuwa nao hata huko CCM , huyu alibebwa na Magufuli kama walivyobebwa Musiba , Kabudi na mamluki wengine , sasa mtu kama huyu kutoa kauli za kichochezi kama hii ni ishara kwamba sasa amelewa madaraka na ameamua kuwapanda watanzania kichwani .

Dawa ya viongozi wenye fikra mgando kama huyu ni Katiba mpya tu .
 
Mbona mtu mmoja akiamua ataweza kuiondoa ccm.
 
Naendelea kufanya study Kenya kujua ni sababu zipi zilikiuwa chama cha KANU Kisha nitakwenda Zambia kuchunguza ni sababu zipi zilikiuwa chama cha ZANU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…