Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🖕🏿🖕🏿Precisely. Kinachohitajika na wewe tafuta tumehuru yako watu kama fatmakarume na lwaitama, au askofubagonza na askofuatupele. Weka na sera ya ukabila (majimbo) pamoja na ya ushoga, iingie kwenye Ilani ya Mhe Mbowe mwaka 2030, mkishinda mkamate Nji. Siyo hii ya kulialia eti maridhiano mpewe ushindi wa chee bila jasho. Mma! No! Nduhu! Oode! Nein!!
Sasa kama mke ni spika wa bunge na mumewe kateuliwa mkurugenzi tena wa taasis nyeti unatarajia atasema nini? wakati kwa mwezi tu mishahara yao wote wawili kwa pamoja wanakikusanya sio chini ya milion zisizopungua 20Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa hakuna siku itatokea chama hicho kikaruhusu nafasi ya kuachia kuitawala nchi kwakuwa imejiwekea mizizi imara katika kuwatumikia wananchi wake.
Dkt. Tulia ameyasema hayo leo Februari 4, 2023 akiwa Visiwani Zanzibar kwa ziara ya kichama ambapo alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za miaka 46 ya Chama hicho iliyofanyika katika Mkoa wa kusini Unguja.
Amesema kuwa ni wakati sahihi kwa wanachama wa chama hicho hususani vijana kuendelea kukipigania na kuwapigania Viongozi wao wakuu akiwemo Mwenyekiti wa Chama taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuyasemea mazuri anayoyafanya kwa nchi.
“Mwana CCM hupaswi kukaa kinyonge hata siku moja, kote Tanzania bara na visiwani kuna miradi ya ujenzi wa shule kila kona, miundombinu ya barabara, zahanati, vituo vya afya n.k haya yote ni mafanikio ya kujivunia sasa unakaaje kinyonge? tunaposema kwamba chama hiki hakitaachia dola tunamaanisha” Amesisitiza Dkt. Tulia.
Chanzo: Clouds Media
View attachment 2506298
Chama TawalaHawa mbuzz ni kuwatoa tu kwa viboko na mijeredi. No way out.
Nothing lasts longerSpika yuko makini sana huo ndio ukweli siasa za misiba ya Magufuli haitawasaidia
USSR
Siasa za kizamani za kina tundu ndio zinamwishoNothing lasts longer
.Dola ishampa kiburi, yeye na mumewe wanakula mema ya nchi...
Hata Herode alikuwa na kiburi hicho hicho
Anamsahau hata MunguMtu akishalewa madaraka si ajabu kutoa kauli kama hizi
Hujui hata unachokiteteaSiasa za kizamani za kina tundu ndio zinamwisho
USSR
Umerogwa wewePrecisely. Kinachohitajika na wewe tafuta tumehuru yako watu kama fatmakarume na lwaitama, au askofubagonza na askofuatupele. Weka na sera ya ukabila (majimbo) pamoja na ya ushoga, iingie kwenye Ilani ya Mhe Mbowe mwaka 2030, mkishinda mkamate Nji. Siyo hii ya kulialia eti maridhiano mpewe ushindi wa chee bila jasho. Mma! No! Nduhu! Oode! Nein!!
Tutahakikisha hapati ubunge , hata kama wataligawa jimbo ni lazima aangushwe tu , tuliwahi kufanya hivyo Momba na TundumaHuyu mama ana hofu Sana na sugu. Anajua uchaguzi wa haki ataangushwa sasa anataka ufanyike uhuni kama wa 2020 ndio maana daima kauli zake ni hizo wasifuate demokrasia kwenye uchaguzi. Hana Amani kabisa na jimbo la mbeya mjini
Sukuma gang wanakomeshwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa mbuzz ni kuwatoa tu kwa viboko na mijeredi. No way out.
Kazi kweli kweli!!!Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa hakuna siku itatokea chama hicho kikaruhusu nafasi ya kuachia kuitawala nchi kwakuwa imejiwekea mizizi imara katika kuwatumikia wananchi wake.
Dkt. Tulia ameyasema hayo leo Februari 4, 2023 akiwa Visiwani Zanzibar kwa ziara ya kichama ambapo alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za miaka 46 ya Chama hicho iliyofanyika katika Mkoa wa kusini Unguja.
Amesema kuwa ni wakati sahihi kwa wanachama wa chama hicho hususani vijana kuendelea kukipigania na kuwapigania Viongozi wao wakuu akiwemo Mwenyekiti wa Chama taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuyasemea mazuri anayoyafanya kwa nchi.
“Mwana CCM hupaswi kukaa kinyonge hata siku moja, kote Tanzania bara na visiwani kuna miradi ya ujenzi wa shule kila kona, miundombinu ya barabara, zahanati, vituo vya afya n.k haya yote ni mafanikio ya kujivunia sasa unakaaje kinyonge? tunaposema kwamba chama hiki hakitaachia dola tunamaanisha” Amesisitiza Dkt. Tulia.
Chanzo: Clouds Media
View attachment 2506298
Ni sahihi kabisa ,kwa akili za akina Lema na Mbowe mnategemea kweli kuiondoa ccm madarakani? Muda wa miaka thelethini mlichofanikiwa ni kujenga jamii ya vijana wa ovyo kama MDUDE na kundi lake ambao mnawaitwa makamandaSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa...
Mnategemea akina Sugu,Lema ,Msigwa na akina Heche kweli ?nadhani hamko serious hata kidogoKazi kweli kweli!!!