Tulia Ackson: CCM haitoachia Dola KAMWE

Vijana ni wengi siku wakitokwa na uwoga .....
 
Madaraka Hasa hapa Tanzania Hulevya sana..Hawa watu wanapeana nafasi tu kama kugawa peremende..Fikiria Mtu kama Tulia ni Spika na Mume wake ni DG Ewura huyo kweli ataacha Kukuambia Watatawala Milele??? CCM sio Mungu ni muunganiko wa watu ambao asilimia 80 ni Malengo yao...Kauli hizi hutunzwa Mama Tulia muulize Ndugai kiburi kilimjaa saiv yuko wapi??? Usiseme kauli mbaya zitakufata na kizazi chako wewe tulia Ule mana unajua kabisa katika hali ya kawaida wewe usingepata nafasi hiyo kamwe...
 
Sukuma gang wanakomeshwa [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Spika yuko makini sana huo ndio ukweli siasa za misiba ya Magufuli haitawasaidia

USSR
 
Vindu vichanjaga hii ni kauli ya kabila la waluya wa Kenya kwa Kiswahili maana yake mambo hubadilika. Kuna siku mambo yatabadilika. That is a fact
 
Huyu "Mungu wa CCM" ni nani?
 
Kauli ka hizo sijui zina tija gani kwa Taifa. Nonsense!

shithole countries
 
Kulikuwa na kizazi cha kuthubutu ambacho kimepambana na mkoloni bila uwoga, kikaja kizazi chako hiki ambacho kina kula matundq ya jasho la wengine
Huwezi kupambana na mkoloni.

Walipewa uhuru wa kwenye sahani kwa makubaliano maalumu.
 
Huo ndio ukweli...now you understand that these people won't go out peacefully,,maybe tuondoke Tu twende Burundi,au yatokee ya Putin na Zelensky
 
Ni kweli Kwa Katiba iliyopo na tume ya uchaguzi ya ajabu, CCM wataendelea kuwepo tu. A bitter truth ni kwamba kwa sasa Tanzania haina chama cha upinzani kilichopo kwaajili ya umma Bali kwa maslahi ya top Leaders Kama Mbowe, Zitto nk
Precisely. Kinachohitajika na wewe tafuta tumehuru yako watu kama fatmakarume na lwaitama, au askofubagonza na askofuatupele. Weka na sera ya ukabila (majimbo) pamoja na ya ushoga, iingie kwenye Ilani ya Mhe Mbowe mwaka 2030, mkishinda mkamate Nji. Siyo hii ya kulialia eti maridhiano mpewe ushindi wa chee bila jasho. Mma! No! Nduhu! Oode! Nein!!
 
jengeni nchi acheni longo longo.semamungu fundi bhana sipati picha tulia angekuwa pisikali😎😎bungeni pasinge kalika.mungu bhana wee acha tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…