Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hilo lazima alijue tu maana hakuna aijuwaye kesho yakeNa kama ipo hivyo basi atambue kuwa ipo siku yeye atakufa na kuiacha ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo lazima alijue tu maana hakuna aijuwaye kesho yakeNa kama ipo hivyo basi atambue kuwa ipo siku yeye atakufa na kuiacha ccm
Halijui hilo maana tayari keshalewa madarakaMbona mtu mmoja akiamua ataweza kuiondoa ccm.
Hapa bongo uwanja ukiwa Sawa ccm ni sawa kishada tuNaendelea kufanya study Kenya kujua ni sababu zipi zilikiuwa chama cha KANU Kisha nitakwenda Zambia kuchunguza ni sababu zipi zilikiuwa chama cha ZANU.
Madaraka Hasa hapa Tanzania Hulevya sana..Hawa watu wanapeana nafasi tu kama kugawa peremende..Fikiria Mtu kama Tulia ni Spika na Mume wake ni DG Ewura huyo kweli ataacha Kukuambia Watatawala Milele??? CCM sio Mungu ni muunganiko wa watu ambao asilimia 80 ni Malengo yao...Kauli hizi hutunzwa Mama Tulia muulize Ndugai kiburi kilimjaa saiv yuko wapi??? Usiseme kauli mbaya zitakufata na kizazi chako wewe tulia Ule mana unajua kabisa katika hali ya kawaida wewe usingepata nafasi hiyo kamwe...Naunga mkono hoja.
Kuna watu tukiwaambia ukweli kuhusu CCM kutawala milele, hawaamini, na kwa vile maneno hayo ameyasema Tulia, bado kuna watu hawataamini hadi maneno hayo ya CCM kutawala milele Tanzania, yatakaposemwa na nanilii!. Sii wengi wanaojua kuwa kauli huumba, ila pia ukitoa kauli mbaya kama kuwatukana wazazi, kauli hiyo inasababisha one to be cursed!. Kauli kama hii ya CCM kutawala milele huko nyuma iliwahi kutolewa na kiongozi fulani who, very unfortunately, he was cursed!. Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. humo nilisema "Wanabodi,
Kuna wengi wanadhani siasa ni kupiga blah blah tuu, hivyo kwao, kila kinachosemwa na wanasiasa, wanakiona kama ni blah blah!, no!. Siasa sio blah blah tuu, japo blah blah zipo, ila pia kuna ukweli bayana, dhahir, shahir!. Siasa ni sayansi, social science, hivyo sayansi ya siasa ni political science, inafuata kanuni zile zile za kisayansi za Newton's laws of motion, ile kanuni ya "a body in motion" or
" a static body", itaendelea kubaki hivyo hivyo milele, hadi kutokea nguvu nyingine itakayoibadilisha, hivyo kwa hali hii ilivyo sasa, CCM is the body in motion, itaendelea kutawala milele, kwa sababu watu wenye uwezo wa Kimungu, wameishaona kuwa kwa Tanzania, hakuna kabisa uwezekano wa kutokea nguvu nyingine ya kuizuia CCM isitawale milele nchi yetu ya Tanzania, hivyo CCM, itatawala milele!.
Japo kila lenye mwanzo, huwa lina mwisho, na CCM kama chama, ina mwanzo hivyo ni lazima nayo iwe na mwisho, unless CCM ndie Mungu mwenyewe, ambaye Yeye ndiye Pekee Alfa na Omega hivyo CCM hii iliyopo sasa nayo ni CCM Alfa na Omega, haina mwisho, hivyo pia katika utawala wa Tanzania, CCM ndio alfa na omega wa siasa zetu, ndicho chama pekee chenye hati miliki ya kuitawala Tanzania milele!, huu ni ukweli bayana ambao lazima sote, tuupokee, tuukubali na tuutekeleze. Wale wote wasioukubali ukweli huu, ni kweli kabisa watapata taabu sana!.
Jee Umilele wa CCM Kutawala Tanzania Milele, Unatokana na Nini?.
Umilele wa CCM kuitawala Tanzania, unatokana na mungu wa CCM (not Mungu Baba) kuiteua CCM na kuipatia hati miliki ya kuitawala Tanzania milele na milele, ndio maana katika baadhi ya makala zangu za nyuma, niliwahi kushauri tuifute ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, tuifute ruzuku kwa vyama vya siasa, Tanzania turejee kuwa nchi ya chama kimoja cha milele, CCM.
Ruzuku kwa vyama vya Siasa: Mnaonaje tumshauri Rais Magufuli aifutilie mbali ruzuku hii? Ni ufisadi
NB: Baadhi ya kauli kama hizi, zinasababisha curses, msije kushangaa watoa kauli kama hizi kuja kuwa cursed na kuchomoka kabla ya wakati kwa sababu neno milele ni mamlaka ya Mungu mwenyewe!.
Kidumu Milele Chama Cha Mapinduzi.
Pasco"
P
Sukuma gang wanakomeshwa [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Spika wa bunge ni mojawapo ya nafasi ambazo ni sensitive sana hapa nchini.
Leo hii huyu mama anadiliki kuyatamka haya maneno kweli hata bila kukumbuka kuwa aliapa kuwatumikia watanzania na kuilinda katiba.
Eti kamwe ccm haiwezi kuwachia madaraka!!!!
Kwanini hii serikali ilikubali kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi vya siasa?
Tulia anatakiwa awaombe msamaha watanzania kwa kutoa maneno kama haya ya kibaguzi.View attachment 2506302
Vindu vichanjaga hii ni kauli ya kabila la waluya wa Kenya kwa Kiswahili maana yake mambo hubadilika. Kuna siku mambo yatabadilika. That is a factMadaraka Hasa hapa Tanzania Hulevya sana..Hawa watu wanapeana nafasi tu kama kugawa peremende..Fikiria Mtu kama Tulia ni Spika na Mume wake ni DG Ewura huyo kweli ataacha Kukuambia Watatawala Milele??? CCM sio Mungu ni muunganiko wa watu ambao asilimia 80 ni Malengo yao...Kauli hizi hutunzwa Mama Tulia muulize Ndugai kiburi kilimjaa saiv yuko wapi??? Usiseme kauli mbaya zitakufata na kizazi chako wewe tulia Ule mana unajua kabisa katika hali ya kawaida wewe usingepata nafasi hiyo kamwe...
Huyu "Mungu wa CCM" ni nani?Naunga mkono hoja.
Kuna watu tukiwaambia ukweli kuhusu CCM kutawala milele, hawaamini, na kwa vile maneno hayo ameyasema Tulia, bado kuna watu hawataamini hadi maneno hayo ya CCM kutawala milele Tanzania, yatakaposemwa na nanilii!. Sii wengi wanaojua kuwa kauli huumba, ila pia ukitoa kauli mbaya kama kuwatukana wazazi, kauli hiyo inasababisha one to be cursed!. Kauli kama hii ya CCM kutawala milele huko nyuma iliwahi kutolewa na kiongozi fulani who, very unfortunately, he was cursed!. Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. humo nilisema "Wanabodi,
Kuna wengi wanadhani siasa ni kupiga blah blah tuu, hivyo kwao, kila kinachosemwa na wanasiasa, wanakiona kama ni blah blah!, no!. Siasa sio blah blah tuu, japo blah blah zipo, ila pia kuna ukweli bayana, dhahir, shahir!. Siasa ni sayansi, social science, hivyo sayansi ya siasa ni political science, inafuata kanuni zile zile za kisayansi za Newton's laws of motion, ile kanuni ya "a body in motion" or
" a static body", itaendelea kubaki hivyo hivyo milele, hadi kutokea nguvu nyingine itakayoibadilisha, hivyo kwa hali hii ilivyo sasa, CCM is the body in motion, itaendelea kutawala milele, kwa sababu watu wenye uwezo wa Kimungu, wameishaona kuwa kwa Tanzania, hakuna kabisa uwezekano wa kutokea nguvu nyingine ya kuizuia CCM isitawale milele nchi yetu ya Tanzania, hivyo CCM, itatawala milele!.
Japo kila lenye mwanzo, huwa lina mwisho, na CCM kama chama, ina mwanzo hivyo ni lazima nayo iwe na mwisho, unless CCM ndie Mungu mwenyewe, ambaye Yeye ndiye Pekee Alfa na Omega hivyo CCM hii iliyopo sasa nayo ni CCM Alfa na Omega, haina mwisho, hivyo pia katika utawala wa Tanzania, CCM ndio alfa na omega wa siasa zetu, ndicho chama pekee chenye hati miliki ya kuitawala Tanzania milele!, huu ni ukweli bayana ambao lazima sote, tuupokee, tuukubali na tuutekeleze. Wale wote wasioukubali ukweli huu, ni kweli kabisa watapata taabu sana!.
Jee Umilele wa CCM Kutawala Tanzania Milele, Unatokana na Nini?.
Umilele wa CCM kuitawala Tanzania, unatokana na mungu wa CCM (not Mungu Baba) kuiteua CCM na kuipatia hati miliki ya kuitawala Tanzania milele na milele, ndio maana katika baadhi ya makala zangu za nyuma, niliwahi kushauri tuifute ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, tuifute ruzuku kwa vyama vya siasa, Tanzania turejee kuwa nchi ya chama kimoja cha milele, CCM.
Ruzuku kwa vyama vya Siasa: Mnaonaje tumshauri Rais Magufuli aifutilie mbali ruzuku hii? Ni ufisadi
NB: Baadhi ya kauli kama hizi, zinasababisha curses, msije kushangaa watoa kauli kama hizi kuja kuwa cursed na kuchomoka kabla ya wakati kwa sababu neno milele ni mamlaka ya Mungu mwenyewe!.
Kidumu Milele Chama Cha Mapinduzi.
Pasco"
P
Mwendazake wa chato anakomeshwa.Lkn kasema ukweli kabisa kuwa alichofanya spika siyo cha kiungwana
Huwezi kupambana na mkoloni.Kulikuwa na kizazi cha kuthubutu ambacho kimepambana na mkoloni bila uwoga, kikaja kizazi chako hiki ambacho kina kula matundq ya jasho la wengine
Lisu na mbowe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siwezi kumbishia ikiwa wapinzani tunaowategemea ndio hao walamba asali.
Precisely. Kinachohitajika na wewe tafuta tumehuru yako watu kama fatmakarume na lwaitama, au askofubagonza na askofuatupele. Weka na sera ya ukabila (majimbo) pamoja na ya ushoga, iingie kwenye Ilani ya Mhe Mbowe mwaka 2030, mkishinda mkamate Nji. Siyo hii ya kulialia eti maridhiano mpewe ushindi wa chee bila jasho. Mma! No! Nduhu! Oode! Nein!!Ni kweli Kwa Katiba iliyopo na tume ya uchaguzi ya ajabu, CCM wataendelea kuwepo tu. A bitter truth ni kwamba kwa sasa Tanzania haina chama cha upinzani kilichopo kwaajili ya umma Bali kwa maslahi ya top Leaders Kama Mbowe, Zitto nk