Tulia Ackson: CCM haitoachia Dola KAMWE

Mtu akishalewa madaraka si ajabu kutoa kauli kama hizi
 
🖕🏿🖕🏿
 
Sasa kama mke ni spika wa bunge na mumewe kateuliwa mkurugenzi tena wa taasis nyeti unatarajia atasema nini? wakati kwa mwezi tu mishahara yao wote wawili kwa pamoja wanakikusanya sio chini ya milion zisizopungua 20
 
Umerogwa wewe
 
Anatuchafulia sifa ambazo ccm tumehangaika kuwaminisha watu kuwa tunafanya kwa haki na juudi yeye anaropoka ujinga atolewe ccm ni chama pendwa kwa matendo yake
 
Huyu mama ana hofu Sana na sugu. Anajua uchaguzi wa haki ataangushwa sasa anataka ufanyike uhuni kama wa 2020 ndio maana daima kauli zake ni hizo wasifuate demokrasia kwenye uchaguzi. Hana Amani kabisa na jimbo la mbeya mjini
Tutahakikisha hapati ubunge , hata kama wataligawa jimbo ni lazima aangushwe tu , tuliwahi kufanya hivyo Momba na Tunduma
 
Kazi kweli kweli!!!
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa...
Ni sahihi kabisa ,kwa akili za akina Lema na Mbowe mnategemea kweli kuiondoa ccm madarakani? Muda wa miaka thelethini mlichofanikiwa ni kujenga jamii ya vijana wa ovyo kama MDUDE na kundi lake ambao mnawaitwa makamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…