Tulia Ackson: CCM haitoachia Dola KAMWE

Tulia Ackson: CCM haitoachia Dola KAMWE

Hii tz ni swala la muda tu. Hata kama itachukua miaka 100 ,tutakuja kuwa kama DRC ,Somalia, Sudan .Ngoja hiki kizazi cha waoga na wajinga kipite
Lema si alikuwa anajiita kamanda ?kilichompeleka CANADA ni uwoga au ni ujasiri?
 
View attachment 2506328

Ni lazima viongozi wa Tanzania waelewe kwamba Nchi hii pamoja na kuwa na KATIBA MBOVU NA DUNI , lakini bado inaendeshwa kwa kufuata sheria za nchi na Taratibu zilizoainishwa .

Kauli ya Kijinga aliyoitoa Tulia Ackson huko Zanzibar kwamba ccm haitoachia madaraka milele haiwezi kunyamaziwa , tutaipinga kwa nguvu zote tena bila kumung'unya maneno .

Labda kwa faida ya WanaJF na Watanzania wengine ni kwamba , huyu Tulia Ackson ni Mwanasiasa Duni na mchanga ndani na nje ya ccm , ni mwanasiasa asiye na mchango wowote kwenye nchi hii wala hakuwahi kuwa nao hata huko CCM , huyu alibebwa na Magufuli kama walivyobebwa Musiba , Kabudi na mamluki wengine , sasa mtu kama huyu kutoa kauli za kichochezi kama hii ni ishara kwamba sasa amelewa madaraka na ameamua kuwapanda watanzania kichwani .

Dawa ya viongozi wenye fikra mgando kama huyu ni Katiba mpya tu .
Tulia ni Dr. wa sheria asiyejua sheria. Bado ana ile akili yake ya kuu a mandazi gengeni. Kuna watu wana story nzuri za kusimulia mafanikio yao ila the past will always stay with you.
 
View attachment 2506328

Ni lazima viongozi wa Tanzania waelewe kwamba Nchi hii pamoja na kuwa na KATIBA MBOVU NA DUNI , lakini bado inaendeshwa kwa kufuata sheria za nchi na Taratibu zilizoainishwa .

Kauli ya Kijinga aliyoitoa Tulia Ackson huko Zanzibar kwamba ccm haitoachia madaraka milele haiwezi kunyamaziwa , tutaipinga kwa nguvu zote tena bila kumung'unya maneno .

Labda kwa faida ya WanaJF na Watanzania wengine ni kwamba , huyu Tulia Ackson ni Mwanasiasa Duni na mchanga ndani na nje ya ccm , ni mwanasiasa asiye na mchango wowote kwenye nchi hii wala hakuwahi kuwa nao hata huko CCM , huyu alibebwa na Magufuli kama walivyobebwa Musiba , Kabudi na mamluki wengine , sasa mtu kama huyu kutoa kauli za kichochezi kama hii ni ishara kwamba sasa amelewa madaraka na ameamua kuwapanda watanzania kichwani .

Dawa ya viongozi wenye fikra mgando kama huyu ni Katiba mpya tu .
Wewe na wewe ni kilaza tu. Unafikiri kila kitu hupendi katiba ndio tatizo. Kwa mfano hapo katiba inaingia vipi? Kuna kauli za kisiasa tu wala hazina nguvu ya kisheria...nawala huwezi kumshitaki mtu popote. Kwa mfani hapo tulia akisema ccm itaongoza milele ni kauli tu ya kisiasa kwa sababu wakishindwa uchaguzi watabwaga manyanga.
 
Mnategemea akina Sugu,Lema ,Msigwa na akina Heche kweli ?nadhani hamko serious hata kidogo
Mkuu ni bora mkajibizana na vijana wenzako mnaofikiri kila kitu ni CCM na CDM. Kuna sehemu nimewataja hao uliowaandika. Vijana wa hovyo kabisa nyinyi, fanya kazi jengea familia yako future, huo ushabiki wenu mfanye wenyewe
 
View attachment 2506328

Ni lazima viongozi wa Tanzania waelewe kwamba Nchi hii pamoja na kuwa na KATIBA MBOVU NA DUNI , lakini bado inaendeshwa kwa kufuata sheria za nchi na Taratibu zilizoainishwa .

Kauli ya Kijinga aliyoitoa Tulia Ackson huko Zanzibar kwamba ccm haitoachia madaraka milele haiwezi kunyamaziwa , tutaipinga kwa nguvu zote tena bila kumung'unya maneno .

Labda kwa faida ya WanaJF na Watanzania wengine ni kwamba , huyu Tulia Ackson ni Mwanasiasa Duni na mchanga ndani na nje ya ccm , ni mwanasiasa asiye na mchango wowote kwenye nchi hii wala hakuwahi kuwa nao hata huko CCM , huyu alibebwa na Magufuli kama walivyobebwa Musiba , Kabudi na mamluki wengine , sasa mtu kama huyu kutoa kauli za kichochezi kama hii ni ishara kwamba sasa amelewa madaraka na ameamua kuwapanda watanzania kichwani .

Dawa ya viongozi wenye fikra mgando kama huyu ni Katiba mpya tu .
Angalia wanaoongoza siasa za upinzani ndio utaamini kabisa kuwa Tulia yuko sahihi kabisa.Hivi kweli siasa za maji taka za akina Lema ndio za kushika DOLA?siasa za kutegemea kabila moja ndio muwe na uwezo wa kutawala ?
 
View attachment 2506328

Ni lazima viongozi wa Tanzania waelewe kwamba Nchi hii pamoja na kuwa na KATIBA MBOVU NA DUNI , lakini bado inaendeshwa kwa kufuata sheria za nchi na Taratibu zilizoainishwa .

Kauli ya Kijinga aliyoitoa Tulia Ackson huko Zanzibar kwamba ccm haitoachia madaraka milele haiwezi kunyamaziwa , tutaipinga kwa nguvu zote tena bila kumung'unya maneno .

Labda kwa faida ya WanaJF na Watanzania wengine ni kwamba , huyu Tulia Ackson ni Mwanasiasa Duni na mchanga ndani na nje ya ccm , ni mwanasiasa asiye na mchango wowote kwenye nchi hii wala hakuwahi kuwa nao hata huko CCM , huyu alibebwa na Magufuli kama walivyobebwa Musiba , Kabudi na mamluki wengine , sasa mtu kama huyu kutoa kauli za kichochezi kama hii ni ishara kwamba sasa amelewa madaraka na ameamua kuwapanda watanzania kichwani .

Dawa ya viongozi wenye fikra mgando kama huyu ni Katiba mpya tu .

Katiba mpya? Yaani hata kitu ulichoongea hapa sijui ulikuwa una-address kwa watu gani humu, maana hakuna point yoyote hapa zaidi ya pumba! Nataka nikuambia kuwa Jf siyo jukwaa la ushabiki wa siasa au vyama!
 
Mkuu ni bora mkajibizana na vijana wenzako mnaofikiri kila kitu ni CCM na CDM. Kuna sehemu nimewataja hao uliowaandika. Vijana wa hovyo kabisa nyinyi, fanya kazi jengea familia yako future, huo ushabiki wenu mfanye wenyewe
Pole saana ,
 
Huyu ni mwanasiasa kama walivyo wengine ana Uhuru wa kutoa maoni Kama usitumie nguvu nyingi sana.
 
Katiba mpya? Yaani hata kitu ulichoongea hapa sijui ulikuwa una-address kwa watu gani humu, maana hakuna point yoyote hapa zaidi ya pumba! Nataka nikuambia kuwa Jf siyo jukwaa la ushabiki wa siasa au vyama!
Kama macho huna basi hata kupapasa uneshindwa ?
 
Naunga mkono hoja.
Kuna watu tukiwaambia ukweli kuhusu CCM kutawala milele, hawaamini, na kwa vile maneno hayo ameyasema Tulia, bado kuna watu hawataamini hadi maneno...
Kadada kanamuogopa sugu, kameongea kama kanachati na sugu kwa PM huko vihunga vya Mbeya
 
Bwana mapesa hajabutua hapo kweli maana ajili zao sawa
 
Back
Top Bottom