Lema si alikuwa anajiita kamanda ?kilichompeleka CANADA ni uwoga au ni ujasiri?Hii tz ni swala la muda tu. Hata kama itachukua miaka 100 ,tutakuja kuwa kama DRC ,Somalia, Sudan .Ngoja hiki kizazi cha waoga na wajinga kipite
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lema si alikuwa anajiita kamanda ?kilichompeleka CANADA ni uwoga au ni ujasiri?Hii tz ni swala la muda tu. Hata kama itachukua miaka 100 ,tutakuja kuwa kama DRC ,Somalia, Sudan .Ngoja hiki kizazi cha waoga na wajinga kipite
Unyimwe mwili, unyimwe na akili pia?! DuhSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. Tulia...
Mtafika mwisho, kwa heri ama kwa shari! Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, hata jiwe lilikufa japo lilidhani litadumu mileleSiasa za kizamani za kina tundu ndio zinamwisho
USSR
Tulia ni Dr. wa sheria asiyejua sheria. Bado ana ile akili yake ya kuu a mandazi gengeni. Kuna watu wana story nzuri za kusimulia mafanikio yao ila the past will always stay with you.View attachment 2506328
Ni lazima viongozi wa Tanzania waelewe kwamba Nchi hii pamoja na kuwa na KATIBA MBOVU NA DUNI , lakini bado inaendeshwa kwa kufuata sheria za nchi na Taratibu zilizoainishwa .
Kauli ya Kijinga aliyoitoa Tulia Ackson huko Zanzibar kwamba ccm haitoachia madaraka milele haiwezi kunyamaziwa , tutaipinga kwa nguvu zote tena bila kumung'unya maneno .
Labda kwa faida ya WanaJF na Watanzania wengine ni kwamba , huyu Tulia Ackson ni Mwanasiasa Duni na mchanga ndani na nje ya ccm , ni mwanasiasa asiye na mchango wowote kwenye nchi hii wala hakuwahi kuwa nao hata huko CCM , huyu alibebwa na Magufuli kama walivyobebwa Musiba , Kabudi na mamluki wengine , sasa mtu kama huyu kutoa kauli za kichochezi kama hii ni ishara kwamba sasa amelewa madaraka na ameamua kuwapanda watanzania kichwani .
Dawa ya viongozi wenye fikra mgando kama huyu ni Katiba mpya tu .
P anazeeka vibaya, Raisi angempa uteuzi atulieUnajichanganya Sasa.....
AmenMtafika mwisho, kwa heri ama kwa shari! Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, hata jiwe lilikufa japo lilidhani litadumu milele
Si uhamie Marekani kabisa Kamanda wetu?Kauli ka hizo sijui zina tija gani kwa Taifa. Nonsense!
shithole countries
Wewe na wewe ni kilaza tu. Unafikiri kila kitu hupendi katiba ndio tatizo. Kwa mfano hapo katiba inaingia vipi? Kuna kauli za kisiasa tu wala hazina nguvu ya kisheria...nawala huwezi kumshitaki mtu popote. Kwa mfani hapo tulia akisema ccm itaongoza milele ni kauli tu ya kisiasa kwa sababu wakishindwa uchaguzi watabwaga manyanga.View attachment 2506328
Ni lazima viongozi wa Tanzania waelewe kwamba Nchi hii pamoja na kuwa na KATIBA MBOVU NA DUNI , lakini bado inaendeshwa kwa kufuata sheria za nchi na Taratibu zilizoainishwa .
Kauli ya Kijinga aliyoitoa Tulia Ackson huko Zanzibar kwamba ccm haitoachia madaraka milele haiwezi kunyamaziwa , tutaipinga kwa nguvu zote tena bila kumung'unya maneno .
Labda kwa faida ya WanaJF na Watanzania wengine ni kwamba , huyu Tulia Ackson ni Mwanasiasa Duni na mchanga ndani na nje ya ccm , ni mwanasiasa asiye na mchango wowote kwenye nchi hii wala hakuwahi kuwa nao hata huko CCM , huyu alibebwa na Magufuli kama walivyobebwa Musiba , Kabudi na mamluki wengine , sasa mtu kama huyu kutoa kauli za kichochezi kama hii ni ishara kwamba sasa amelewa madaraka na ameamua kuwapanda watanzania kichwani .
Dawa ya viongozi wenye fikra mgando kama huyu ni Katiba mpya tu .
Anajuwa hana chake Mbeya.....Huyu mama ana hofu Sana na sugu. Anajua uchaguzi wa haki ataangushwa sasa anataka ufanyike uhuni kama wa 2020 ndio maana daima kauli zake ni hizo wasifuate demokrasia kwenye uchaguzi. Hana Amani kabisa na jimbo la mbeya mjini
Ndo hapo Sasa hatuna serious opposition.Imwachie nani?
Mkuu ni bora mkajibizana na vijana wenzako mnaofikiri kila kitu ni CCM na CDM. Kuna sehemu nimewataja hao uliowaandika. Vijana wa hovyo kabisa nyinyi, fanya kazi jengea familia yako future, huo ushabiki wenu mfanye wenyeweMnategemea akina Sugu,Lema ,Msigwa na akina Heche kweli ?nadhani hamko serious hata kidogo
Angalia wanaoongoza siasa za upinzani ndio utaamini kabisa kuwa Tulia yuko sahihi kabisa.Hivi kweli siasa za maji taka za akina Lema ndio za kushika DOLA?siasa za kutegemea kabila moja ndio muwe na uwezo wa kutawala ?View attachment 2506328
Ni lazima viongozi wa Tanzania waelewe kwamba Nchi hii pamoja na kuwa na KATIBA MBOVU NA DUNI , lakini bado inaendeshwa kwa kufuata sheria za nchi na Taratibu zilizoainishwa .
Kauli ya Kijinga aliyoitoa Tulia Ackson huko Zanzibar kwamba ccm haitoachia madaraka milele haiwezi kunyamaziwa , tutaipinga kwa nguvu zote tena bila kumung'unya maneno .
Labda kwa faida ya WanaJF na Watanzania wengine ni kwamba , huyu Tulia Ackson ni Mwanasiasa Duni na mchanga ndani na nje ya ccm , ni mwanasiasa asiye na mchango wowote kwenye nchi hii wala hakuwahi kuwa nao hata huko CCM , huyu alibebwa na Magufuli kama walivyobebwa Musiba , Kabudi na mamluki wengine , sasa mtu kama huyu kutoa kauli za kichochezi kama hii ni ishara kwamba sasa amelewa madaraka na ameamua kuwapanda watanzania kichwani .
Dawa ya viongozi wenye fikra mgando kama huyu ni Katiba mpya tu .
View attachment 2506328

Pole saana ,Mkuu ni bora mkajibizana na vijana wenzako mnaofikiri kila kitu ni CCM na CDM. Kuna sehemu nimewataja hao uliowaandika. Vijana wa hovyo kabisa nyinyi, fanya kazi jengea familia yako future, huo ushabiki wenu mfanye wenyewe
Kama macho huna basi hata kupapasa uneshindwa ?Katiba mpya? Yaani hata kitu ulichoongea hapa sijui ulikuwa una-address kwa watu gani humu, maana hakuna point yoyote hapa zaidi ya pumba! Nataka nikuambia kuwa Jf siyo jukwaa la ushabiki wa siasa au vyama!
Kadada kanamuogopa sugu, kameongea kama kanachati na sugu kwa PM huko vihunga vya MbeyaNaunga mkono hoja.
Kuna watu tukiwaambia ukweli kuhusu CCM kutawala milele, hawaamini, na kwa vile maneno hayo ameyasema Tulia, bado kuna watu hawataamini hadi maneno...