Magufuli alikuwa na kipaji cha kuwaibua vichaa wenzake.
Ni lazima viongozi wa Tanzania waelewe kwamba Nchi hii pamoja na kuwa na KATIBA MBOVU NA DUNI , lakini bado inaendeshwa kwa kufuata sheria za nchi na Taratibu zilizoainishwa.
Kauli ya Kijinga aliyoitoa Tulia Ackson huko Zanzibar kwamba ccm haitoachia madaraka milele haiwezi kunyamaziwa , tutaipinga kwa nguvu zote tena bila kumung'unya maneno.
Labda kwa faida ya WanaJF na Watanzania wengine ni kwamba, huyu Tulia Ackson ni Mwanasiasa Duni na mchanga ndani na nje ya ccm , ni mwanasiasa asiye na mchango wowote kwenye nchi hii wala hakuwahi kuwa nao hata huko CCM , huyu alibebwa na Magufuli kama walivyobebwa Musiba , Kabudi na mamluki wengine , sasa mtu kama huyu kutoa kauli za kichochezi kama hii ni ishara kwamba sasa amelewa madaraka na ameamua kuwapanda watanzania kichwani .
Dawa ya viongozi wenye fikra mgando kama huyu ni Katiba mpya tu .
Huyu aliibuliwa mapema sana mwanzoni wa utawala wa kichaa huyo, hata kabla ya hawa wengine. Kwa hiyo alikuwa anamfahamu vizuri sana huyu kichaa mwenzake.
Lakini niulize swali mkuu 'Erytro', hivi huyu binti mbona kifuani hakuna kitu, ulishamtizama vizuri? Angalia hiyo picha!