Tulia Ackson: CCM haitoachia Dola KAMWE

Tulia Ackson: CCM haitoachia Dola KAMWE

Ni lazima viongozi wa Tanzania waelewe kwamba Nchi hii pamoja na kuwa na KATIBA MBOVU NA DUNI , lakini bado inaendeshwa kwa kufuata sheria za nchi na Taratibu zilizoainishwa.

Kauli ya Kijinga aliyoitoa Tulia Ackson huko Zanzibar kwamba ccm haitoachia madaraka milele haiwezi kunyamaziwa , tutaipinga kwa nguvu zote tena bila kumung'unya maneno.

Labda kwa faida ya WanaJF na Watanzania wengine ni kwamba, huyu Tulia Ackson ni Mwanasiasa Duni na mchanga ndani na nje ya ccm , ni mwanasiasa asiye na mchango wowote kwenye nchi hii wala hakuwahi kuwa nao hata huko CCM , huyu alibebwa na Magufuli kama walivyobebwa Musiba , Kabudi na mamluki wengine , sasa mtu kama huyu kutoa kauli za kichochezi kama hii ni ishara kwamba sasa amelewa madaraka na ameamua kuwapanda watanzania kichwani .

Dawa ya viongozi wenye fikra mgando kama huyu ni Katiba mpya tu .
Magufuli alikuwa na kipaji cha kuwaibua vichaa wenzake.

Huyu aliibuliwa mapema sana mwanzoni wa utawala wa kichaa huyo, hata kabla ya hawa wengine. Kwa hiyo alikuwa anamfahamu vizuri sana huyu kichaa mwenzake.

Lakini niulize swali mkuu 'Erytro', hivi huyu binti mbona kifuani hakuna kitu, ulishamtizama vizuri? Angalia hiyo picha!
 
Safari hii hatutawapa nafasi , Liwalo na Liwe !
Mkishindwa safari hii hamna sababu tena ya kuendelea kuwepo kama chama. 'Seriously'.
Siyo Katiba Mpya, wala Tume Huru, wala wizi wa kura zitakuwa sababu za kisingizio kwenu kushindwa kuwasambaratisha CCM ,'once and for all'.
 
Mbona mlimpiga Lissu risasi kisa mkasema sio mzalendo? ?
Kama uzalendo uko moyoni mwa mtu mwenyewe.
Lissu hatukumpiga risasi sisi, alishambuliwa na watu wasiojulikana, sisi tukamtuma VP Mama Samia akampe pole. Tulishindwa kuanza uchunguzi kwasababu kulikuwa hakuna shuhuda yoyote, sasa shuhuda mmoja yupo, jeshi la polisi litaanza uchunguzi.
P
 
Hii Tanzania ni swala la muda tu. Hata kama itachukua miaka 100 ,tutakuja kuwa kama DRC, Somalia, Sudan .Ngoja hiki kizazi cha waoga na wajinga kipite
Anaongea utafikiri ataishi milele, Yeye ni mavumbi,ataiacha nchi na hajui yatakayofuata.
 
Lissu alipigwa risasi na MaCHADEMA wenyewe hata dokta Mollel alisema inawezekana na Gaidi Mbowe kama walivyoua Chacha Wangwe .
Tulia yuko sawa CCM ina mifumo inatoendana na mahitaji ya nchi na wananchi haidhulumu wanawake kama kina Mdee.
Hakuna chama hata kimoja nje ya CCM kina akili za kitaifa.
Povu ruxa
 
MaCHADEMA msijidanganye kuwa mtamtoa Tulia Mbeya katika miaka 10 ijayo. Wananchi sio wajinga kama miaka ile wakaweka wachumia tumbo kama Sugu, Mnyika na wenzie ambao hawana alama hata choo bali wamenenepesha tu mashavu na kuwa na mahawara. Faiza anamtosha Sugu hukoo.
Kwa kazi na uimara wa CCM MaCHADEMA kaeni kwa adabu na matusi yenu.
Milele na milele kwa muundo wenu mnaishia chini tu. Btw Gaidi anaelekea mwisho who z next. Chiba!? Huo ndio mwisho wa MaCHADEMA.
 
Na ingetokea mwanadam angeishi milele,hii dunia ingekuwa na balaa

Ova
 
Huu ndiyo ukweli. Maridhiano ni kwenye ngazi za ubunge na udiwani tu. Lkn urais----thubutu!!
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa hakuna siku itatokea chama hicho kikaruhusu nafasi ya kuachia kuitawala nchi kwakuwa imejiwekea mizizi imara katika kuwatumikia wananchi wake.

Dkt. Tulia ameyasema hayo leo Februari 4, 2023 akiwa Visiwani Zanzibar kwa ziara ya kichama ambapo alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za miaka 46 ya Chama hicho iliyofanyika katika Mkoa wa kusini Unguja.

Amesema kuwa ni wakati sahihi kwa wanachama wa chama hicho hususani vijana kuendelea kukipigania na kuwapigania Viongozi wao wakuu akiwemo Mwenyekiti wa Chama taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuyasemea mazuri anayoyafanya kwa nchi.

“Mwana CCM hupaswi kukaa kinyonge hata siku moja, kote Tanzania bara na visiwani kuna miradi ya ujenzi wa shule kila kona, miundombinu ya barabara, zahanati, vituo vya afya n.k haya yote ni mafanikio ya kujivunia sasa unakaaje kinyonge? tunaposema kwamba chama hiki hakitaachia dola tunamaanisha” Amesisitiza Dkt. Tulia.

Chanzo: Clouds Media

Huyu njiti anasadifu kwa asilimia mia hii katuni
 
Attachments

  • JamiiForums1389173211.jpeg
    JamiiForums1389173211.jpeg
    24.6 KB · Views: 1
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa hakuna siku itatokea chama hicho kikaruhusu nafasi ya kuachia kuitawala nchi kwakuwa imejiwekea mizizi imara katika kuwatumikia wananchi wake.

Dkt. Tulia ameyasema hayo leo Februari 4, 2023 akiwa Visiwani Zanzibar kwa ziara ya kichama ambapo alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za miaka 46 ya Chama hicho iliyofanyika katika Mkoa wa kusini Unguja.

Amesema kuwa ni wakati sahihi kwa wanachama wa chama hicho hususani vijana kuendelea kukipigania na kuwapigania Viongozi wao wakuu akiwemo Mwenyekiti wa Chama taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuyasemea mazuri anayoyafanya kwa nchi.

“Mwana CCM hupaswi kukaa kinyonge hata siku moja, kote Tanzania bara na visiwani kuna miradi ya ujenzi wa shule kila kona, miundombinu ya barabara, zahanati, vituo vya afya n.k haya yote ni mafanikio ya kujivunia sasa unakaaje kinyonge? tunaposema kwamba chama hiki hakitaachia dola tunamaanisha” Amesisitiza Dkt. Tulia.

Chanzo: Clouds Media

Hili liko wazi CCM iachie dola nani sasa ashike dola ?
 
Aisee
 
Back
Top Bottom