Tulia Ackson: Gazeti la mwananchi, JamiiForums tunawategemea kuwapelekea taarifa sahihi, tusipeleke za upotoshaji

Tulia Ackson: Gazeti la mwananchi, JamiiForums tunawategemea kuwapelekea taarifa sahihi, tusipeleke za upotoshaji

Cha ajabu kipi ?? Maana 98% ya wana siasa wote wako humu wana jipitisha kwa IDs fake ..ukute mmoja wapo ni mimi teh teh
.
JamiiForums-1372746095_104458.jpg
 
Wasomi wengi wa Tanzania ni either wanachama wa JF au wasomaji wa JF.
Korido za JF ni nyingi humu tunapigana vikumbo na watu wazito, wanyonge, matajiri kwa masikini, wenye mamlaka na wasio na mamlaka, mapadre jwa wapagani. Majambazi na vibaka bila kusahau matapeli.

Kifupi ni kama ka state /society fulani hivi inayoishi mtandaoni
 
Back
Top Bottom