Tulia Ackson: Gazeti la mwananchi, JamiiForums tunawategemea kuwapelekea taarifa sahihi, tusipeleke za upotoshaji

Tulia Ackson: Gazeti la mwananchi, JamiiForums tunawategemea kuwapelekea taarifa sahihi, tusipeleke za upotoshaji

Hakika JF inazidi kupaa!

Kwani nimemsikia mwenyewe Spika wa Bunge, Tulia Ackson, akiitaja JF, kuwa ndiyo kinara wa kutoa habari hapa nchini😀
Na tukiwa tunawagusa hadi na Mauzauza yao katika Nyadhifa zao au Maisha yao Binafsi yasiyokuwa ya mfano bora kwa Watu wawe Wavumilivu.
 
.
1731031033.jpg
 
Duh! Kumbe vigogo wakubwa huwa wanapitia habari humu, kuna neno moja nililitumia kuandika humu nimelisikia kwa kigogo mmoja bungeni naye akilitumia katika kuchangia mchango wake bungeni. Kama wazito wapo humu wanatusoma basi uandishi wetu uwe wa maana na wenye tija kwa taifa
 
Wanabodi,
Hii ni Breaking News kutoka Bungeni Dodoma!. Baada ya Rais Samia kusema huwa anaingiaga JF, kutusoma na kubaki akicheka. Leo kwa mara ya kwanza mtandao numero Uno Tanzania, Jamiiforums, leo imetajwa rasmi Bungeni na Spika wa
Mkuu nimependa sana hizo picha hasa ya mwisho
 
Hata ingetajwa mbinguni,ukweli utabaki vilevile tu..
Jamii forums ni jumuiya ya watu wajuaji na wabinafsi..

Jiulize toka umeanza kutumia JF umeinvite member wangapi?
 
Hakika JF inazidi kupaa!

Alianza Rais Samia, kwenye kongamano la Chadema, akiitaja JF, na hivi leo nimemsikia mwenyewe Spika wa Bunge, Tulia Ackson, akiitaja JF, kuwa ndiyo kinara wa kutoa habari hapa nchini👏👏
Ameitaja kwa ubaya ikiwa ni sehemu ya kupotosha taarifa za bunge- hili si jambo jema
 
Back
Top Bottom