Tulia Ackson: Gazeti la mwananchi, JamiiForums tunawategemea kuwapelekea taarifa sahihi, tusipeleke za upotoshaji

Wasomi wengi wa Tanzania ni either wanachama wa JF au wasomaji wa JF.
Korido za JF ni nyingi humu tunapigana vikumbo na watu wazito, wanyonge, matajiri kwa masikini, wenye mamlaka na wasio na mamlaka, mapadre jwa wapagani. Majambazi na vibaka bila kusahau matapeli.

Kifupi ni kama ka state /society fulani hivi inayoishi mtandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…