econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
JF sio chombo cha habari
Ni nini?. Chombo reliable Cha habari kwa Sasa ni JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JF sio chombo cha habari
Kama bosi wake anapita humu yeye ni nani asipite, na ule uzi wetu pendwa wa kula tunda kimasihara??
Tatizo na johnthebaptist naye ni mpasha habari huku 😂😂
Shikamoo P Mayalla, mwanzo nilikuchukulia kama umri wa kaka yangu, ila hii picha imenipa uhalisi kuwa unastahili Shikamoo kwa 80% ya member wa humu ndani.Wanabodi,
Hii ni Breaking News kutoka Bungeni Dodoma!. Baada ya Rais Samia kusema huwa anaingiaga JF, kutusoma na kubaki akicheka. Leo kwa mara ya kwanza mtandao numero Uno Tanzania, Jamiiforums, leo imetajwa rasmi Bungeni na Spika wa Bunge Dr. Tulia Ackson " Vyombo vya Habari Mwananchi na Jamiiforums, Tunawategemea" Kutusaidia Kuihabarisha Jamii taarifa sahihi za Bunge"
Naifuatilia clip
Mimi ni member wa JF kwa muda wa miaka 15 sasa, if imekuwa ikifanya mengi makubwa mazuri kuisaidia serikali na viongozi wake but was barely or hardly recognised, hivyo hii mention ya Spika, it's good kwa JF.
Sisi members wa jf tuwe makini zaidi, kama Mkuu wa Mhimili Mkuu, Rais wa JMT amesema anasoma JF, leo Mkuu wa Mhimili wa Bunge ametutaja, bado Mkuu wa Mhimili mmoja tuu wa Mahakama, of which its just a matter of time.
Mimi kwa niaba yangu binafsi kama mwana JF, nakiri kuwa niko very proud to be a JF member.View attachment 2576131
View attachment 2576132View attachment 2576133
Nichukue fursa hii kumpongeza Mkuu Maxence Melo na timu yake ya JF kwa kazi kubwa na mzuri ya uhabarishwaji wa jamii, upashanaji habari, na kutupatia fursa adhimu na adimu ya kutupatia mawanda ya freedom of speech and expression kwa sisi members.
Pia natoa shukrani zangu kwa JF kutu recognizes baadhi yetu na kutupatia zawadi na bahasha nene ya chochote kitu!.
Thanks JF,
God Bless Mkuu Maxence Melo
God Bless JF Staff
God Bless JF Members
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali
Ameitaja kwa ubaya ikiwa ni sehemu ya kupotosha taarifa za bunge- hili si jambo jema
Si ajabu kuna mod hapa alishawahi kunitandika ban [emoji16][emoji16][emoji16]
Hakika JF inazidi kupaa!
Alianza Rais Samia, kwenye kongamano la Chadema, akiitaja JF, na hivi leo nimemsikia mwenyewe Spika wa Bunge, Tulia Ackson, akiitaja JF, kuwa ndiyo kinara wa kutoa habari hapa nchini[emoji122][emoji122]
Anaogopa kuchambuliwa kama alivyochambuliwa bona kamoli
....si ajabu mtu ukiparuliwa humu, waweza kuta hujamkuna mwenzako vizuri.Huijui JF wewe. Rais mwenyewe alishasema kuwa anasoma yaliyomo ndani ya JF, halafu bila aibu unasema JF siyo popular kihivyo! Usishangae labda na Mama ni mwana JF
Wanabodi,
Hii ni Breaking News kutoka Bungeni Dodoma!. Baada ya Rais Samia kusema huwa anaingiaga JF, kutusoma na kubaki akicheka. Leo kwa mara ya kwanza mtandao numero Uno Tanzania, Jamiiforums, leo imetajwa rasmi Bungeni na Spika wa Bunge Dr. Tulia Ackson " Vyombo vya Habari Mwananchi na Jamiiforums, Tunawategemea" Kutusaidia Kuihabarisha Jamii taarifa sahihi za Bunge"
Naifuatilia clip
Mimi ni member wa JF kwa muda wa miaka 15 sasa, if imekuwa ikifanya mengi makubwa mazuri kuisaidia serikali na viongozi wake but was barely or hardly recognised, hivyo hii mention ya Spika, it's good kwa JF.
Sisi members wa jf tuwe makini zaidi, kama Mkuu wa Mhimili Mkuu, Rais wa JMT amesema anasoma JF, leo Mkuu wa Mhimili wa Bunge ametutaja, bado Mkuu wa Mhimili mmoja tuu wa Mahakama, of which its just a matter of time.
Mimi kwa niaba yangu binafsi kama mwana JF, nakiri kuwa niko very proud to be a JF member.View attachment 2576131
View attachment 2576132View attachment 2576133
Nichukue fursa hii kumpongeza Mkuu Maxence Melo na timu yake ya JF kwa kazi kubwa na mzuri ya uhabarishwaji wa jamii, upashanaji habari, na kutupatia fursa adhimu na adimu ya kutupatia mawanda ya freedom of speech and expression kwa sisi members.
Pia natoa shukrani zangu kwa JF kutu recognizes baadhi yetu na kutupatia zawadi na bahasha nene ya chochote kitu!.
Thanks JF,
God Bless Mkuu Maxence Melo
God Bless JF Staff
God Bless JF Members
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali
🤣🤣Tatizo na johnthebaptist naye ni mpasha habari huku 😂😂
Twende polepole wajameni. Dr Tulia kalalamika upotoshaji huku nyie mnajipiga kifua kuwa kumbe mnajulikana kwa wakubwa! Ndiyo hao kina mbowe walikuwa wanajisifia kuitwa na Kikwete kula futari Ikulu. Jibuni swali, lakini niwasaodie kwa kusema kuwa ukiwa mkubwa na mambo yako yawe ya kikubwa, sasa muachane na danganyatoto ya tumehuru, semeni CHADEMA walishindwa fair and square na sababu kuu ni matusi ya mgombea wao.Mayalla kila uzi kwa sasa unatupia picha zako ukiwa na max. Kuna jambo unatengeneza. Nimeon nyuzi nyingi lazima upate sababu upost picha zako. Hadi uzi wa michezo naona unachomekea kuwa watu tupende michezo. Bila kuwa mwanamichezo huwezi shikana mkono na max hivi unatupia picha.... Kule mmu nako unasisitiza upendo unatuma picha. Sijaelewa una target gani ila naanza kukulitia mashaka na matumizi ya hizo picha. Na bro anasema hiyo suit yake ipeleke kwa dry cleaner mrudishie maana watu wataikariri sasa
wale watoto wa tiktok nao sasa watakuja humu JF muwe makini musiwabemende wako likizoSpika wa Bunge, Tulia Ackson ameongelea vyombo vya habari na kuwaomba waandishi hawapendezwi na habari za upotoshaji kuhusu Bunge kwasababu liko wazi.
Tulia kasema wanawategemea Mwananchi, JamiiForums kuwapelekea wananchi taarifa sahihi na si za upotoshaji, amesema haipendezi hasa kama waandishi hawajanyimwa taarifa.
Hii inaitwa taking the advantage of any opportunity you get by grabbing it. Max ndie the most respected man hapa JF, hivyo kitendo tuu cha mimi kuonekana na Max kuna boost CV yangu!.Mayalla kila uzi kwa sasa unatupia picha zako ukiwa na max. Kuna jambo unatengeneza.
Kutupia manyuzi nyuzi ndio zangu!.Nimeon nyuzi nyingi lazima upate sababu upost picha zako. Hadi uzi wa michezo naona unachomekea kuwa watu tupende michezo. Bila kuwa mwanamichezo huwezi shikana mkono na max hivi unatupia picha.... Kule mmu nako unasisitiza upendo unatuma picha.
Watu wa JF kwa kutilia mashaka kila kitu ndio zao!. The other time nilipendeleza JF tusiishie kuwa wapiga kelele kwa keyboard warriors, tuwe na TV program sauti zetu zisikike Vipindi Maalum vya JF kwenye TV: Naomba Maoni Yako! jamaa wakanisagia kunguni kuwa mimi ni 'wale jamaa' nataka kuwajua members ambao wako very vocal anti government ili ni wa snitch!.Sijaelewa una target gani ila naanza kukulitia mashaka na matumizi ya hizo picha.
La suti tumelipokeaNa bro anasema hiyo suit yake ipeleke kwa dry cleaner mrudishie maana watu wataikariri sasa
Bendera ufuata upepo.Hakika JF inazidi kupaa!
Alianza Rais Samia, kwenye kongamano la Chadema, akiitaja JF, na hivi leo nimemsikia mwenyewe Spika wa Bunge, Tulia Ackson, akiitaja JF, kuwa ndiyo kinara wa kutoa habari hapa nchini👏👏
Jukwaa liitwe BUNGENI LEO ama BUNGE LETU halafu kuwe na sub-caption ya mikutano mbali mbaliKwa kuwa JF ni chombo cha huru na uwazi
napendekeza JF management watuongezee jukwaa la BUNGE ili tuweze kuchangia moja kwa moja mijadala inayohusu bunge letu ikiwa ni pamoja na kutoa maoni na changamoto tunazozikumba wananchi.
Maxence Melo
JamiiForums
Nimekuwa msomaji wa JF kwa miaka 6,mwaka huu nikasema hapana,ngoja niwe mwanachama wa JF kabisa. Inapendeza sana.Wasomi wengi wa Tanzania ni either wanachama wa JF au wasomaji wa JF.