Tulia Ackson: Gazeti la mwananchi, JamiiForums tunawategemea kuwapelekea taarifa sahihi, tusipeleke za upotoshaji

Shikamoo P Mayalla, mwanzo nilikuchukulia kama umri wa kaka yangu, ila hii picha imenipa uhalisi kuwa unastahili Shikamoo kwa 80% ya member wa humu ndani.
 
Shida ya JF ni secret society. Unaingia kwa Siri na unatoka kwa Siri. So kuinvite watu itakuwa vurugu halafu tutaanza kufahamiana which is very risky. Refer Been Saaanane.
 
Ameitaja kwa ubaya ikiwa ni sehemu ya kupotosha taarifa za bunge- hili si jambo jema

Anajilinda maana anajua JF huwa haibahatishi bunge linapopotosha. Umesahau post ya Pascal Mayalla ivyotetemesha bunge mpaka akaitwa. Bunge linaiogopa JF, hivyo statement ya spika ni Kama kujilinda na makombora ya JF.
 
Yawezekana spika ana account humu JF.
Hakika JF inazidi kupaa!

Alianza Rais Samia, kwenye kongamano la Chadema, akiitaja JF, na hivi leo nimemsikia mwenyewe Spika wa Bunge, Tulia Ackson, akiitaja JF, kuwa ndiyo kinara wa kutoa habari hapa nchini[emoji122][emoji122]
 
Huijui JF wewe. Rais mwenyewe alishasema kuwa anasoma yaliyomo ndani ya JF, halafu bila aibu unasema JF siyo popular kihivyo! Usishangae labda na Mama ni mwana JF
....si ajabu mtu ukiparuliwa humu, waweza kuta hujamkuna mwenzako vizuri.
Kweli inawezekana ni memba wa siku nyingi tu.
 
Mayalla kila uzi kwa sasa unatupia picha zako ukiwa na max. Kuna jambo unatengeneza. Nimeon nyuzi nyingi lazima upate sababu upost picha zako. Hadi uzi wa michezo naona unachomekea kuwa watu tupende michezo. Bila kuwa mwanamichezo huwezi shikana mkono na max hivi unatupia picha.... Kule mmu nako unasisitiza upendo unatuma picha. Sijaelewa una target gani ila naanza kukulitia mashaka na matumizi ya hizo picha. Na bro anasema hiyo suit yake ipeleke kwa dry cleaner mrudishie maana watu wataikariri sasa


 
Twende polepole wajameni. Dr Tulia kalalamika upotoshaji huku nyie mnajipiga kifua kuwa kumbe mnajulikana kwa wakubwa! Ndiyo hao kina mbowe walikuwa wanajisifia kuitwa na Kikwete kula futari Ikulu. Jibuni swali, lakini niwasaodie kwa kusema kuwa ukiwa mkubwa na mambo yako yawe ya kikubwa, sasa muachane na danganyatoto ya tumehuru, semeni CHADEMA walishindwa fair and square na sababu kuu ni matusi ya mgombea wao.
 
wale watoto wa tiktok nao sasa watakuja humu JF muwe makini musiwabemende wako likizo
 
Mayalla kila uzi kwa sasa unatupia picha zako ukiwa na max. Kuna jambo unatengeneza.
Hii inaitwa taking the advantage of any opportunity you get by grabbing it. Max ndie the most respected man hapa JF, hivyo kitendo tuu cha mimi kuonekana na Max kuna boost CV yangu!.
Nimeon nyuzi nyingi lazima upate sababu upost picha zako. Hadi uzi wa michezo naona unachomekea kuwa watu tupende michezo. Bila kuwa mwanamichezo huwezi shikana mkono na max hivi unatupia picha.... Kule mmu nako unasisitiza upendo unatuma picha.
Kutupia manyuzi nyuzi ndio zangu!.
Sijaelewa una target gani ila naanza kukulitia mashaka na matumizi ya hizo picha.
Watu wa JF kwa kutilia mashaka kila kitu ndio zao!. The other time nilipendeleza JF tusiishie kuwa wapiga kelele kwa keyboard warriors, tuwe na TV program sauti zetu zisikike Vipindi Maalum vya JF kwenye TV: Naomba Maoni Yako! jamaa wakanisagia kunguni kuwa mimi ni 'wale jamaa' nataka kuwajua members ambao wako very vocal anti government ili ni wa snitch!.
Na bro anasema hiyo suit yake ipeleke kwa dry cleaner mrudishie maana watu wataikariri sasa
La suti tumelipokea
P
 
Hakika JF inazidi kupaa!

Alianza Rais Samia, kwenye kongamano la Chadema, akiitaja JF, na hivi leo nimemsikia mwenyewe Spika wa Bunge, Tulia Ackson, akiitaja JF, kuwa ndiyo kinara wa kutoa habari hapa nchini👏👏
Bendera ufuata upepo.
 
Jukwaa liitwe BUNGENI LEO ama BUNGE LETU halafu kuwe na sub-caption ya mikutano mbali mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…