Tulia Ackson: Gazeti la mwananchi, JamiiForums tunawategemea kuwapelekea taarifa sahihi, tusipeleke za upotoshaji

Kwa sababu tunazidi kupewa heshima kubwa, na sisi pia tujiheshimu. Haja na habari zinazoletwa na kujadiliwa zilingane na heshima tunayopewa.

Hongera sana Mkurugenzi mkuu wa JF na watendaji wake. Hongera sana wachangiaji makini na waletaji hoja zenye uzito, hao ndio wanaoifanya JF iheshimiki.
 
Pascal you very intelligent, son!
 
Spika wa mchongo
 
Hiyo ni nadharia ya kwenye makaratasi ilakiuhalisia Rais hana wakulingana nae,yeye ni mkuu wa nchi,amiri jeshi mkuu,mwenyekiti wa chama tawala,muulize Job Ndugai anaweza kukufafanulia kiundani,hii hata mwanangu wa form one anaelewa,mbona unaniangusha mpwa
 
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…