Tulia Ackson (Mbunge wa Mbeya Mjini) Roho inamsuta

Sasa si ungeweka na hao akina Tulia wakiwa kwenye mkusanyiko na shangwe zao tuone. Au zao huwa zinakuwa na simanzi!
 
Huyu Dkt. Tulia Ackson kwakuwa ni mwana Simba SC Mwenzangu wala simsemi ( simsilibi ) sana sana nitamtetea tu, ila angekuwa ni mwana Yanga SC kama Tarimba Abbas ( Mbunge CCM Kinondoni ) angenikoma hapa.
Kha! khaa!,Mimi mwenyewe ni mwana Simba kindaki ndaki, itabidi tukae naye kwenye vikao vyetu vya ndani.
 
Alau sasa siasa zinafanyika kwa amani na ule uongo ulioenezwa (vyama vya upinzani hufanya fujo) waliousema wanaumbuka. hivi kina "inteligensia... hatutoi kibali... tutawatandika..!!!" Wameanza kubadilika au?
 
Huyu Dkt. Tulia Ackson kwakuwa ni mwana Simba SC Mwenzangu wala simsemi ( simsilibi ) sana sana nitamtetea tu, ila angekuwa ni mwana Yanga SC kama Tarimba Abbas ( Mbunge CCM Kinondoni ) angenikoma hapa.
Nadhani ungemloga kabisa ha ha ha!
 
wewe ndiyo hukuichaguwa wenzio waliichaguwa ndiyo maana akapata ubunge we endela kujiliwaza hivyo miaka inaenda unatawaliwa na tulia huyohuyo na 2025 anapita tena
 
Kha! khaa!,Mimi mwenyewe ni mwana Simba kindaki ndaki, itabidi tukae naye kwenye vikao vyetu vya ndani.
Ni sahihi Mkuu wana Simba SC huwa tunateteana na wala hatusemani Hadharani hivi. Huyu Dada Tulia anaipenda na Kuisaidia sana Simba SC yetu kwa hali na Mali.

Nitamtetea daima hapa ila angekuwa ni mwana Yanga SC hakika angenitambua leo kwani siipendi Yanga SC mpaka Mashabiki zake kama ilivyo kwa Mbunge wa Kinondoni CCM Tarimba Abbas.
 
Watz nafikiri kufanya viongozi kama hao wa kuchaguliwa wawe 'accountable' ni kuwa pia na labda form of midterm elections/referendums/ performance checks for their deliverables!
Ewaaa!!!, tuone sasa hayo maendeleo watakayotuletea.
 
Siku nyingine mkumbuke barakoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…