Tulia Ackson (Mbunge wa Mbeya Mjini) Roho inamsuta

Huyu dada alipewa Ubunge na mwendazake, Watanzania wote wanalijua hilo..inamuwia vigumu kwa kweli - hata hela ya wizi kuna wakati ukiitumbua huwa inakusuta rohoni..
 
Wewe mwenyewe tulisha kudharau kama tambara bovu
Hahahhhaha ukinidharau mim kama mim unajisumbua muda wa kuwa legacy yangu inabamba...! Usipanic hoja hujibiwa kwa hoja sio matusi
 
Dah,nimehuzunika kujua kumbe yanga hatupendwi hivi?
Sawa bwana
 
Yule mfu (zamani mwendazake) alitumia kila mbinu kuiua CHADEMA akajikuta anakufa yeye ameiacha CHADEMA inadunda
 
wewe ndiyo hukuichaguwa wenzio waliichaguwa ndiyo maana akapata ubunge we endela kujiliwaza hivyo miaka inaenda unatawaliwa na tulia huyohuyo na 2025 anapita tena
Mbunge ana tawala au ana wakilisha?

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…