Tulia Ackson (Mbunge wa Mbeya Mjini) Roho inamsuta

Wamawia wa Mchumbiji na Mbeya wapi na wapi!!
 
Huyu Dkt. Tulia Ackson kwakuwa ni mwana Simba SC Mwenzangu wala simsemi ( simsilibi ) sana sana nitamtetea tu, ila angekuwa ni mwana Yanga SC kama Tarimba Abbas ( Mbunge CCM Kinondoni ) angenikoma hapa.
Huyu jamaa napenda sana uandishi wake
 
Huyu mwendazake lilijua litakufa ndo mana kilakilichofanywa nae ni HOVYO
 
Huyu Dkt. Tulia Ackson kwakuwa ni mwana Simba SC Mwenzangu wala simsemi ( simsilibi ) sana sana nitamtetea tu, ila angekuwa ni mwana Yanga SC kama Tarimba Abbas ( Mbunge CCM Kinondoni ) angenikoma hapa.
Alibebwa kwenye sahani kama vitumbua gengeni
 
Furaha kama zote
 
Huyu Dkt. Tulia Ackson kwakuwa ni mwana Simba SC Mwenzangu wala simsemi ( simsilibi ) sana sana nitamtetea tu, ila angekuwa ni mwana Yanga SC kama Tarimba Abbas ( Mbunge CCM Kinondoni ) angenikoma hapa.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…mseme neno moja tu
 
Sura ngumu kama zile hazinaga soni.
 
Nguvu ya umma ni nguvu ya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…