Tulia Ackson: Nilishaumwa CORONA Mara mbili, watu wasidhani Mimi siijui

Unaikumbuka ile ajali ya gari ya ya Nditiye , uliwahi kuambiwa ?
 
Tatizo watu wanaona corona ni kifo tu na ndiyo maana kuna watu hadi leo wanakataa hakuna corona kwa sababu kama hizo.
 
Mbona wengi tu waliougua korona na wakajisolate wenyewe. Wengi nawafahamu. Jambo lenyewe liko so privately. Wengine hawapendi kuweka mambo yao public. Kumbuka kwamba yeye bado ni kijana na hivyo kinga yake bado iko juu. Nawasilisha
 
Mbona wengi tu waliougua korona na wakajisolate wenyewe. Wengi nawafahamu. Jambo lenyewe liko so privately. Wengine hawapendi kuweka mambo yao public. Kumbuka kwamba yeye bado ni kijana na hivyo kinga yake bado iko juu. Nawasilisha
Bora usingepost kitu.
 
Tayari kaja kingi
 
Naibu Spika wa bunge la Jamhuri ya muungano was Tanzania ameeleza kuwa alishawahii kuumwa Korona Mara mbili hivyo anaijua vizuri. Ameongeza kwa kusema kuwa watu wasione kwa Nini havai barakoa wakadhani kwamba hachukui tahadhari, la hasha.
 
Kuumwa kwake Korona mara mbili ni proof kuwa staili yake ya kutovaa barakoa inamfanya aambukizwe mara nyingi nyingi.
Sasa musche aache kuvaa barakoa kwenye mikusanyiko aone kama haijamgongea hodi mara ya tatu
unaweza ukavaa ,na bado ukaambukizwa,chamsingi chukua tahadhari.kuvaa barakoa pekee haitoshi.
 
Anachukuaje tahadhari?
Kumbe corona inaweza ikakupiga ikakupa pumzi kidogo ikakupiga tena inakuacha kwa muda inakurabua tena inakuchunia kwa muda inakufumua tena mpaka ukate moto
Corona ni noma
Wale watu ambao hawajaugua sana kufika stage ya kushindwa kupumua kuna uwezekano mkuwa wa kuugua tena na tena,ila wale waliougua sana kama Waziri Mpango uwezekano wa kuugua tena corona ni mdogo ila Mapafu yao ndo kwisheni itamchukua muda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…