mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,789
- 7,181
Kweli hapo uongo uje, maana hata sijajua nini ilikuwa lengo lake ikiwa muda wote huo wamekaa kimya bungeni bila kutoa tahadhari yoyote.Uongo njoo, utamu kolea
Korona ipoHii hadithi inatufundisha nini?
Inafundisha watu wavae barakoaHii hadithi inatufundisha nini?
Naibu Spika wa bunge la Jamhuri ya muungano was Tanzania ameeleza kuwa alishawahii kuumwa Korona Mara mbili hivyo anaijua vizuri. Ameongeza kwa kusema kuwa watu wasione kwa Nini havai barakoa wakadhani kwamba hachukui tahadhari, la hasha.
Nafikiri sampuli walichukua kwa kipimo cha kichina...Alipimwa kwa kutumia kipimo kipi??
Sample walimchukuajechukuaje?😂
Everyday is Saturday............................... 😎
Aturekebishie barabara mbeya bwana aache ujinga aende zake kudai barabara kwa mzeeNaibu Spika wa bunge la Jamhuri ya muungano was Tanzania ameeleza kuwa alishawahii kuumwa Korona Mara mbili hivyo anaijua vizuri. Ameongeza kwa kusema kuwa watu wasione kwa Nini havai barakoa wakadhani kwamba hachukui tahadhari, la hasha.
Wanafanya kuchukua tahadhari kama vitu ambavyo sio tangible aka dhambi ambayo tahadhari yake kuu ni kuwa na matendo memo na wakati mwingine inategemea na nafsi yako. Wakati tahadhari ya corona yenyewe inaonekana moja moja na ndio maana wananzengo wanamshangaaNaibu Spika wa bunge la Jamhuri ya muungano was Tanzania ameeleza kuwa alishawahii kuumwa Korona Mara mbili hivyo anaijua vizuri. Ameongeza kwa kusema kuwa watu wasione kwa Nini havai barakoa wakadhani kwamba hachukui tahadhari, la hasha.
Naibu Spika wa bunge la Jamhuri ya muungano was Tanzania ameeleza kuwa alishawahii kuumwa Korona Mara mbili hivyo anaijua vizuri. Ameongeza kwa kusema kuwa watu wasione kwa Nini havai barakoa wakadhani kwamba hachukui tahadhari, la hasha.
Wow, huyu ni wewe? Basi tusaidie kumuuliza bibie anasema nini hapa? What's the message?Halafu shetani akimpitia ndugu zake watadai kazi ya Mungu haina makosa!
Asitudanganye kwa jinsi alivyo Fidodido ( Kimbaumbau ) Corona ingempata kweli hivi sasa Tume ya Uchaguzi ( NEC ) ya Dk. Charles Wilson Mahera ingeshatangaza Uchaguzi Jimbo la Mbeya Mjini na Ofisini kwa Spika Tangazo la Tanzia lingeshawekwa Kitambo sana tu.Naibu Spika wa bunge la Jamhuri ya muungano was Tanzania ameeleza kuwa alishawahii kuumwa Korona Mara mbili hivyo anaijua vizuri. Ameongeza kwa kusema kuwa watu wasione kwa Nini havai barakoa wakadhani kwamba hachukui tahadhari, la hasha.
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji848][emoji2827][emoji38][emoji38]Umbeya wakwe, kaipatiya wapi wakati Tz hakuna Corona? N
Ndio kaamumbukiza bossi yake??