Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Kabisa boss, hata sasa hizi mahakama zetu hazipo huruHata yeye mwenyewe Tulia Ackson anajuwa kuwa alitoa Tsh 100,000 kwa wajumbe wote 800 wa Mkutano wa Jimbo la Mbeya Mjini ambao ndiyo waliompitisha kugombea kwa Tiketi ya CCM.
Pamoja na kuwekewa kinga na hawara yake Magufuli bado alitumia kama Tsh 100 Milioni kupita kura za maoni za CCM
Kuhusu kwenda Mahakamani jibu ni kwamba kipindi cha Magufuli ilikuwa ni vigumu kwa vile Majaji na Mahakimu kwa kesi kama hiyo ingekuwa ni vigumu kushinda. Mahakama zilikuwa zinatishiwa na kufuata maelekezo ya mwendazake