Tulia Ackson: Wanaoamini nguvu ya dola ilitumika uchaguzi 2020 ni imani tu, hamna mtu ameona mahali. Auliza mbona hawakwenda mahakamani!

Jimbo la Arusha mjini nguvu la dola ilitumika huku tukishuhudia kwa macho.
Tulia aendelee kula keki ya taifa kwa kutulia aache maneno anakumbusha machungu.
 
Huyu Mama binafsi namheshimu sana hadi kesho. Hoja kama hizi asiwe anajibu kwa sababu humpunguzia sifa alizonazo. Moyoni make anajua walichofanya na kidonda hicho bado kibichi kwa wengi.

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
 
Kwenye vituo tulijua tulichofanya na wala haukuwa uchaguzi wa haki coz tulilazimishwa kufanya vile walivyoagizwa na mamlaka ya juu
 
Jinsi miaka inavyozidi kwenda ndivyo watu wanavyozidi kuichoka CCM na ndivyo hicho chama kinavyotafuta namna ya kujihami na moja ya mbinu zao ni kuiteka mahakama na vyombo vingine vya dola japo mkakati huu hua haudumu kulingana na historia.
 
Mungu fundii,nchi imetuliaa Sasa,ndo maana supika anatapatapa.Mungu wake kafa jpm
Utasubiri sana Tulia ataendelea kuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, huyo Sugu aendelee kufanya biashara ya Guest tu!!
 
Mahakama ilikuwa mfukoni mwa mtu
 
Hivi Tanzania kuna mahakama kweli?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…