Tulia Ackson: Wanaojitolea kwenye Kada za Afya na Ualimu wapewe kipaumbele kwenye Ajira

Siku hizi hata kupata nafasi za kujitolea hutolewa kwa kujuana, wafanyakazi kazi wa kituo hicho cha Afya au shule wanapeleka ndugu zao na huwa wanalipwa posho kidogo ya kujikimu kutoka kwenye OC za taasisi hizo au michango ya wazazi
 
Hii Madam spika hujalifikiria vizuri kabla ya huo ushauli. Kwanza kujitolea imekuwa lazima siku hizi? Jibu ni hapana. Pili hizo nafasi za kujitolea zipo kwa kiasi gani kiasi kwamba kila mhitimu aweze kujitolea?

Kwanza Madam spika tambua kuwa huyu mtu anahitajika pia na familia yake hivyo wengi wameamua kujiajili kwenye shughuli mbalimbali ili wapate kipato kidogo kwa ajili ya kujikimu kimaisha. Yote haya ukichanganya na mengine mengi huwezi kuja na kauli hiyo ya eti waajiliwe kwanza wanaojitolea. Futa kauli hiyo
 
nakumbuka nilivyomaliza masomo yangu tarajari niliambiwa nijitolee kwenye tahasusi flani kwakweli nilikataa japo maisha yalikua magumu sana sina mishe niliamini nitapata tu nikatuliza moyo nikamrudisha wife kwao nikaanza kupambana nikapata ajira lasmi nikamrudisha wife maisha yakaendelea
KATAA KUJITOLEA KUJITOLEA NI UTUMWA WASOMI MJIAMINI MGUMU WAMAISHA NI MOJA YA NJIA ZA MAISHA
 
Huo ni unyonyaji na utumwa kiufupi serikali inatafuta cheap labor.
 
Siku hizi hata kupata nafasi za kujitolea hutolewa kwa kujuana, wafanyakazi kazi wa kituo hicho cha Afya au shule wanapeleka ndugu zao na huwa wanalipwa posho kidogo ya kujikimu kutoka kwenye OC za taasisi hizo au michango ya wazazi
Wanatengeneza mianya ya kupitisha ndugu zao pindi ajira zinapotangazwa.
 
Huo ni ujanja wa kutaka wahusika wajazane hospitals na shuleni kuokoa jahazi.
Hamna jipya hapo na haitokuja itokee.
Kitakachofuatia hapo hao wanaojitolea kwa kupewa japo nauli na sabuni watakosa hivyo vitu kwa kasi mpya.
 
Mhe. Spika Ajira zikishatoka watu huwa wanachanganyikiwa kila mtu na wake. Mara huyu mtoto wa mjomba aliyeko wizarani, mara huyu ndio vile tena huko mkoani kwa mkurugenzi. Sasa huyo wakujitolea atakufa na headmaster wake.
 
Hakuna atakayelipwa tena sasa maana Mkuu wa shule atakuwa na mafuriko ya walimu wa kujitolea ijapo ni ngumu sana toka January to December.
 
Siko tayari kufuatilia BUNGE la namna hiyo,halina changamoto (tuli zikataa 2020)

Bunge dhaifu (pr ASSAD)
 
Stupid , vibaraka wa mpuuzi Magufuli , hawa malay si ndio walikuwa wanakenua hapa , mpuuzi alizuia ajira miaka 6+ unategemea nini hapo ? Yet hayana hata aibu yanaongelea kujitolea ,pumbav
Slave labour
 
Ni kweli na kwa nini watu wajitolee wapewe ajira mkiwa mnajitolea tolea ndio chanzo cha waajiri kutokuajiri wanaojitolea mimi huwa siwaelewi hvi wameshindwa kabisa kutafuta cha kufanya wanawalemaza waajiri awaajiri kwa sababu uhitaji auonekani
Hao madogo huwa ni wajinga na wengi wapo vijijin

Wanafanya hvyo ili waonekane wasomi lakini mfukoni wamejaa shida
 
Kuna mwamba nilimsikiliza clouds fm kajitolea toka 2017 hadi leo hajaajiriwa inabidi akimaliza kufundisha jioni apige kaz ya Bodaboda ili kesho apate nauli ya kurudi shulekujitolea

2015 - 2023 miaka 8 ya mapambano ya maisha mtaani .niishie hapo maana alieshiba hamjui mwenye njaa.
Alafu wao wanatumia b80 kwenye afla za kumpongeza mpuuzi mmoja kwa kushindwa kusimamia mali za umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…