Tulia Ackson wewe ni kiongozi mkubwa sana wa Dunia punguza kuposti picha zako Facebook


Trump rais wa Marekani anapost almost daily tena kuna wakati anawakejeli wapinzani huko FB, unaweza kuleta sababu tofauti ya kumshauri aache kupost Fb lkn kusema eti awe busy na kupitia kanuni za bunge haina mashiko kwasababu huyu mama ameprove yuko vizuri kwenye sheria na taratibu za bunge na sheria kiujumla. Mambo ya mitandaoni ni maisha yake binafsi muache mama wa watu.
 
Aibu yetu aisee
 

Kwani kobe akipandishwa juu ya mti ndio anabadilika kuwa tai? Dhahabu ni dhahabu na makinikia ni makinikia, so hamna maajabu inabidi uzoee tu maisha yaendelee
 
Tunasahau Nae ni Binadamu nae ana Mambo yake anapenda Ile ni account Binafsi na nadhani Posts za Pale ni her own View, Sasa who are you to Judge her aisee?
Let her live

Hata akinda kwnye kwenye chakacha sawa tu ni maisha yake kwa maelezo yako
 
Days of our lives.

I hate Death.
 
Iko hivi duniani wapo vipofu hata wasiojua kama ni vipofu,upo upofu wa laana na ule wa ugonjwa,kwa binaa damu sina hakika ni upi anaoweza kuutambua kwa urahisi,watafiti mnipe msaada katika hilo.
Hii ndio Tanzania yetu, ni shida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…