Tulia Ackson wewe ni kiongozi mkubwa sana wa Dunia punguza kuposti picha zako Facebook

Duh who are you? Hadi umpangie mtu maisha?

Elon musk .. tajiri mkubwa duniani Kila siku anachat twitter wakina Trump Rais wa marekani .. au Kisa ni Dr. Tulia ?

Mi naona ni maamuzi yake na yupo sahihi sababu kaamua afanye hivyo
 
Ni sahihi, elon musk ni mfabiashara, huyo ni kiongozi ,wa Dunia, trump ni kipindi cha uchaguzi
 
Kwa hadhi na kwa wadhifa alionao ungemshauri pamoja na yeye mwenyewe, awashauri wenzake wajifunze kutenda haki hasa katika mambo ya uchaguzi, na mambo ya kibunge kwa upande wa Tanzania, inatia aibu sana kwa watu wenye hadhi kama yake kusikia katika maeneo yao kulikuwa na ushindi wa kutumia kura fake.
 
Yeye ni icon wa Tanzania na dunia, mm ni sisimizi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…