Tulia Akson: Kazi zote huwa za mfalme(Rais), wengine tunamsaidia

unalinganishaje na PhD feki ya yule mzee wenu wa legacy
 
Huyu sura mbaya hajielewi.

Angeona Speaker wa Marekani anavyompelekesha Biden hadi Biden amekubali wakae pamoja waweke sawa mambo yao
Huo nao ujinga wa kusoma shuleni bila kuelewa....

Hivi wewe mnyalu unatuambia kuwa demokrasia ni moja duniani ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

Kweli shule tunakwenda kusomea ujinga.....
 
Katika kila MANENO Kuna maana ya nje na ya ndani....

Inawezekana umeyaelewa maneno yake ya NJE na ukahanikiza hisia zako zenye kukupeleka katika FIKRA HASI.....[emoji1787]
 
hata wale wanaomlalamikia Mwigulu Nchemba waache sababu hizo kazi anazotekeleza ni za mfalme na maagizo yote yanatolewa na mfalme na siyo Nchemba.

Na wale wanaolalamikia COVID 19 kuendelea kupokea mishahara ya ubunge wakati sio wabunge wa chama chochote nao wamlalamikie mfalme mmoja kwa moja sio kumlalamikia Madam Spika
 
Wala Mheshimiwa Tulia hajakosea kitu chochote. ! Mhe Tulia ni mwanasheria anajua Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania imempa madaraka makubwa sana sana Mkuu wa Nchi !! Hata Mwalimu Nyerere na pia Rais mstaafu Kikwete kwa nyakati tofauti walithibitisha hivyo !!
 
Anasema ukweli, kwa bahati mbaya sana😂😂.

Nchi ya Kifalme.. na Mfalme ni mwamuzi wa kila kitu.

Sasa wale mnaopenda kuwalaumu wasaidizi wa mfalme, mlaumuni mfalme moja kwa moja

Tanzania a monarchy state. . Ahsante sana Spika.
NAkaaa juu yakilima nachek 2 Tz inavyoenda mimi
 
Aliyesema hili kundi linawakilisha wananchi alaaniwe. Huyu Betina hana tofauti na yule aliyesema mheshimiwa Mungu. Hivi ni Mungu anatuadhibu kupitia hawa phd mchongo?
 
You nailed it. !
 
Kwa hiyo wewe unaielewa katiba zaidi ya anavyoilewa dokta Tulia ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

Hebu jifunzeni kutafsiri maneno....hii nayo ni "field" ya falsafa.....

Sikiliza mgosi....

Maneno huwa na maana ya NJE na NDANI....

Umeyachukua maneno yake ya NJE ukayapwagiza HISIA zako hasi.....meza mate ,vuta pumzi huo mpauko ukutoke usoni [emoji1787][emoji1787]
 
Hata ufisadi serikalini ni kazi ya rais ndio maana nashindwa kuwawajibisha mafisadi
Umemsikia bi tozo aka riyo tuwa upigaji ati .ati anaenda kuimarisha uwajibikaji huku nchi inawaka.moto kwa ukwapuaji
 
Acha bwana....

Mbona wewe ni msomi kaka...

Yaani unajiangusha mwenyewe kwa kutotaka kuitafsiri kauli yake kwa maana ya NDANI na si NJE tu uliyoichukua na kukupandisha jazba?!!!!

Falsafa inafundisha kuwa kila kitu....kina maana ya NJE na NDANI.....

Vuta pumzi uiondoe hasira ikuwakayo [emoji1787][emoji1787]
 
Hata ufisadi serikalini ni kazi ya rais ndio maana nashindwa kuwawajibisha mafisadi
Hapa asilaumiwe rais tu....

Mikono yake(taasisi zake) ziko wapi kumsaidia?!!!

Hata mfalme wa MONARCHY huwa anasaidiwa......
 
Na wale wanaolalamikia COVID 19 kuendelea kupokea mishahara ya ubunge wakati sio wabunge wa chama chochote nao wamlalamikie mfalme mmoja kwa moja sio kumlalamikia Madam Spika
Kila litokealo unalitafsiri kwa kauli hii ya mh.Spika?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]

Ama kweli falsafa inatufundisha kuwa kila kitu kina maana ya NJE na NDANI....bahati mbaya umeikumbatia maana ya nje tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…