Leo ni mara ya pili unazuia wabunge kujadili hali hii mbaya ya utekaji na mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani na wananchi wa kawaida wakiwemo watoto! Mbaya zaidi unaisemea serikali kuliko Waziri Mkuu na mawaziri wengine.
Hivi unajua wajibu wako unapokuwa hapo kwenye kiti cha Spika? Wadhifa wako katika serikali ya Samia ni upi? M
Kwa kuikingia kifua serikali unadhani unamsaidia Rais Samia au unamfanya aonekane ni muuaji na mpenda madaraka? Huoni kuwa unampakaza Samia damu za wote wanaouawa na vyombo vya dola?
Kwa nini unamzuia Waziri Mkuu kujibu hoja kuhusu mauaji na utekaji unaoendelea kuwa tishio kwa wananchi? Kwa nini unawazuia wabunge kuiwajibisha serikali kwa maovu yanayoendelea? Hivi hufahamu kuwa wabunge wanasema kwa niaba ya wananchi na siyo serikali?
Kwa nini unaufanya muhimili wa Bunge kuwa chawa wa serikali? Huelewi kuwa wakiwajibishwa wote wanaofanya maovu haya serikali ya Samia itasafishika na kuepuka lawama ambazo hivi sasa zinaelekezwa kwake.
Tulia kwa nini unakuwa na roho ya kishetani namna hii halafu unajifanya mlokole TAG. Huoni unalipaka matope kanisa unalosali la Tanzania Assemblies of God?
PIA SOMA
- Spika Tulia: Tusiweke mazingira ya kuonesha kuwa kila anayepotea amechukuliwa na Vyombo vya Dola. Tusitumie mihemko