Tulia wewe ni Spika wa Bunge au ni Spika wa Serikali?

Lakini huyu ni chawa mjinga. Kwa sababu anafanya uchawa wa kumharibia Rais.

Huyu mtu amekaa darasani kwa miaka mingi lakini hajitambui na wala elimu haijamkomboa wala kumfanya astaarabike.

Ifanyike kampeni kubwa ili huyu mtu asionekane tena bungeni, hana maana na hana msaada kwa Taifa.

Kwanza huyu hata kujifanya mlokole bila shaka ametafuta kichaka cha kufichia uovu wake. Hana dini mtu huyu. Hakuna dini ya kweli inayotetea uovu.
kwakweli uyu ni chawa mjinga
 
Leo ni mara ya pili unazuia wabunge kujadili hali hii mbaya ya utekaji na mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani na wananchi wa kawaida wakiwemo watoto! Mbaya zaidi unaisemea serikali kuliko Waziri Mkuu na mawaziri wengine.

Hivi unajua wajibu wako unapokuwa hapo kwenye kiti cha Spika? Wadhifa wako katika serikali ya Samia ni upi? M
Kwa kuikingia kifua serikali unadhani unamsaidia Rais Samia au unamfanya aonekane ni muuaji na mpenda madaraka? Huoni kuwa unampakaza Samia damu za wote wanaouawa na vyombo vya dola?

Kwa nini unamzuia Waziri Mkuu kujibu hoja kuhusu mauaji na utekaji unaoendelea kuwa tishio kwa wananchi? Kwa nini unawazuia wabunge kuiwajibisha serikali kwa maovu yanayoendelea? Hivi hufahamu kuwa wabunge wanasema kwa niaba ya wananchi na siyo serikali?

Kwa nini unaufanya muhimili wa Bunge kuwa chawa wa serikali? Huelewi kuwa wakiwajibishwa wote wanaofanya maovu haya serikali ya Samia itasafishika na kuepuka lawama ambazo hivi sasa zinaelekezwa kwake.

Tulia kwa nini unakuwa na roho ya kishetani namna hii halafu unajifanya mlokole TAG. Huoni unalipaka matope kanisa unalosali la Tanzania Assemblies of God?

PIA SOMA
- Spika Tulia: Tusiweke mazingira ya kuonesha kuwa kila anayepotea amechukuliwa na Vyombo vya Dola. Tusitumie mihemko
Hv kwa kuonekano tu huyu mtu s wakala wa shetani
 
shida yenu hamsomi majukumu ya spika,ni kuja hapa na kuporomosha lawama tu,acheni ujinga soma majukumu ya spika ni yepi
 
Majukumu yake ni kuzuia mjadala moto ambayo wananchi wanataka majibu ya kujitosheleza ?!!

Spika ni mtu "serious," aendelee kuwa serious kumzuia mbunge asiongelee Yanga SC siku itakaposhinda ubingwa wa afrika...
 
Leo ni mara ya pili unazuia wabunge kujadili hali hii mbaya ya utekaji na mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani na wananchi wa kawaida wakiwemo watoto! Mbaya zaidi unaisemea serikali kuliko Waziri Mkuu na mawaziri wengine.

Hivi unajua wajibu wako unapokuwa hapo kwenye kiti cha Spika? Wadhifa wako katika serikali ya Samia ni upi? M
Kwa kuikingia kifua serikali unadhani unamsaidia Rais Samia au unamfanya aonekane ni muuaji na mpenda madaraka? Huoni kuwa unampakaza Samia damu za wote wanaouawa na vyombo vya dola?

Kwa nini unamzuia Waziri Mkuu kujibu hoja kuhusu mauaji na utekaji unaoendelea kuwa tishio kwa wananchi? Kwa nini unawazuia wabunge kuiwajibisha serikali kwa maovu yanayoendelea? Hivi hufahamu kuwa wabunge wanasema kwa niaba ya wananchi na siyo serikali?

Kwa nini unaufanya muhimili wa Bunge kuwa chawa wa serikali? Huelewi kuwa wakiwajibishwa wote wanaofanya maovu haya serikali ya Samia itasafishika na kuepuka lawama ambazo hivi sasa zinaelekezwa kwake.

Tulia kwa nini unakuwa na roho ya kishetani namna hii halafu unajifanya mlokole TAG. Huoni unalipaka matope kanisa unalosali la Tanzania Assemblies of God?

PIA SOMA
- Spika Tulia: Tusiweke mazingira ya kuonesha kuwa kila anayepotea amechukuliwa na Vyombo vya Dola. Tusitumie mihemko
Dah ila mwendazake alijichagulia aisee siyo kwa roho mbaya hii huyo mwanamke
 
Tangu tupate uhuru wa Tanganyika, so far hakuna Spika aliyefikia kiwango cha Mh Dkt, Advocate Tulia.
 
Utaahira wako ni wa kupita viwango vya kawaida! Unawezaje kuwa mtumwa wa fikra kiasi hicho! Ile PhD ya shetani Tulia unaiona ni kila kitu! Tulia huyu huyu muuaji ndiye reference yako ya usahihi wa mambo!

Ficha ujinga wako, mshenzi mkubwa!
Kama ile PHD sio lolote nenda wewe ukawe spika, povu linakumwagika ukiwa wapi?.
 
Back
Top Bottom