Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Ndio Mheshimiwa Spika Tulia Apson Mwansasu, wewe kaa na maumivu yako ya moyo maisha yako yote.Daktari chawa kama wewe! Udaktari wake hauna uhusiano na roho yake ya kishetani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Mheshimiwa Spika Tulia Apson Mwansasu, wewe kaa na maumivu yako ya moyo maisha yako yote.Daktari chawa kama wewe! Udaktari wake hauna uhusiano na roho yake ya kishetani!
Sawa! Ila bado atabaki kuwa shetani!Ndio Mheshimiwa Spika Tulia Apson Mwansasu, wewe kaa na maumivu yako ya moyo maisha yako yote.
Chuki zako haziwezi kumpunguzia chochote maishani mwake.Sawa! Ila bado atabaki kuwa shetani!
kwakweli uyu ni chawa mjingaLakini huyu ni chawa mjinga. Kwa sababu anafanya uchawa wa kumharibia Rais.
Huyu mtu amekaa darasani kwa miaka mingi lakini hajitambui na wala elimu haijamkomboa wala kumfanya astaarabike.
Ifanyike kampeni kubwa ili huyu mtu asionekane tena bungeni, hana maana na hana msaada kwa Taifa.
Kwanza huyu hata kujifanya mlokole bila shaka ametafuta kichaka cha kufichia uovu wake. Hana dini mtu huyu. Hakuna dini ya kweli inayotetea uovu.
Hv kwa kuonekano tu huyu mtu s wakala wa shetaniLeo ni mara ya pili unazuia wabunge kujadili hali hii mbaya ya utekaji na mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani na wananchi wa kawaida wakiwemo watoto! Mbaya zaidi unaisemea serikali kuliko Waziri Mkuu na mawaziri wengine.
Hivi unajua wajibu wako unapokuwa hapo kwenye kiti cha Spika? Wadhifa wako katika serikali ya Samia ni upi? M
Kwa kuikingia kifua serikali unadhani unamsaidia Rais Samia au unamfanya aonekane ni muuaji na mpenda madaraka? Huoni kuwa unampakaza Samia damu za wote wanaouawa na vyombo vya dola?
Kwa nini unamzuia Waziri Mkuu kujibu hoja kuhusu mauaji na utekaji unaoendelea kuwa tishio kwa wananchi? Kwa nini unawazuia wabunge kuiwajibisha serikali kwa maovu yanayoendelea? Hivi hufahamu kuwa wabunge wanasema kwa niaba ya wananchi na siyo serikali?
Kwa nini unaufanya muhimili wa Bunge kuwa chawa wa serikali? Huelewi kuwa wakiwajibishwa wote wanaofanya maovu haya serikali ya Samia itasafishika na kuepuka lawama ambazo hivi sasa zinaelekezwa kwake.
Tulia kwa nini unakuwa na roho ya kishetani namna hii halafu unajifanya mlokole TAG. Huoni unalipaka matope kanisa unalosali la Tanzania Assemblies of God?
PIA SOMA
- Spika Tulia: Tusiweke mazingira ya kuonesha kuwa kila anayepotea amechukuliwa na Vyombo vya Dola. Tusitumie mihemko
Mungu fundi kamnyimamwili kbsaa,Mwili wake tu
Bora tena ndugai kuliko huyu rangoroho mbaya kama sura yake...... a reflection of internal morals
shida yenu hamsomi majukumu ya spika,ni kuja hapa na kuporomosha lawama tu,acheni ujinga soma majukumu ya spika ni yepiLeo ni mara ya pili unazuia wabunge kujadili hali hii mbaya ya utekaji na mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani na wananchi wa kawaida wakiwemo watoto! Mbaya zaidi unaisemea serikali kuliko Waziri Mkuu na mawaziri wengine.
Hivi unajua wajibu wako unapokuwa hapo kwenye kiti cha Spika? Wadhifa wako katika serikali ya Samia ni upi? M
Kwa kuikingia kifua serikali unadhani unamsaidia Rais Samia au unamfanya aonekane ni muuaji na mpenda madaraka? Huoni kuwa unampakaza Samia damu za wote wanaouawa na vyombo vya dola?
Kwa nini unamzuia Waziri Mkuu kujibu hoja kuhusu mauaji na utekaji unaoendelea kuwa tishio kwa wananchi? Kwa nini unawazuia wabunge kuiwajibisha serikali kwa maovu yanayoendelea? Hivi hufahamu kuwa wabunge wanasema kwa niaba ya wananchi na siyo serikali?
Kwa nini unaufanya muhimili wa Bunge kuwa chawa wa serikali? Huelewi kuwa wakiwajibishwa wote wanaofanya maovu haya serikali ya Samia itasafishika na kuepuka lawama ambazo hivi sasa zinaelekezwa kwake.
Tulia kwa nini unakuwa na roho ya kishetani namna hii halafu unajifanya mlokole TAG. Huoni unalipaka matope kanisa unalosali la Tanzania Assemblies of God?
PIA SOMA
- Spika Tulia: Tusiweke mazingira ya kuonesha kuwa kila anayepotea amechukuliwa na Vyombo vya Dola. Tusitumie mihemko
Majukumu yake ni kuzuia mjadala moto ambayo wananchi wanataka majibu ya kujitosheleza ?!!shida yenu hamsomi majukumu ya spika,ni kuja hapa na kuporomosha lawama tu,acheni ujinga soma majukumu ya spika ni yepi
we ni mbumbumbuMajukumu yake ni kuzuia mjadala moto ambao wananchi wanataka majibu ya kujitosheleza ?!!
Spika ni mtu "serious," aendelee kuwa serious kumzuia mbunge asiongelee Yanga SC siku itakaposhinda ubingwa wa afrika...
Dah ila mwendazake alijichagulia aisee siyo kwa roho mbaya hii huyo mwanamkeLeo ni mara ya pili unazuia wabunge kujadili hali hii mbaya ya utekaji na mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani na wananchi wa kawaida wakiwemo watoto! Mbaya zaidi unaisemea serikali kuliko Waziri Mkuu na mawaziri wengine.
Hivi unajua wajibu wako unapokuwa hapo kwenye kiti cha Spika? Wadhifa wako katika serikali ya Samia ni upi? M
Kwa kuikingia kifua serikali unadhani unamsaidia Rais Samia au unamfanya aonekane ni muuaji na mpenda madaraka? Huoni kuwa unampakaza Samia damu za wote wanaouawa na vyombo vya dola?
Kwa nini unamzuia Waziri Mkuu kujibu hoja kuhusu mauaji na utekaji unaoendelea kuwa tishio kwa wananchi? Kwa nini unawazuia wabunge kuiwajibisha serikali kwa maovu yanayoendelea? Hivi hufahamu kuwa wabunge wanasema kwa niaba ya wananchi na siyo serikali?
Kwa nini unaufanya muhimili wa Bunge kuwa chawa wa serikali? Huelewi kuwa wakiwajibishwa wote wanaofanya maovu haya serikali ya Samia itasafishika na kuepuka lawama ambazo hivi sasa zinaelekezwa kwake.
Tulia kwa nini unakuwa na roho ya kishetani namna hii halafu unajifanya mlokole TAG. Huoni unalipaka matope kanisa unalosali la Tanzania Assemblies of God?
PIA SOMA
- Spika Tulia: Tusiweke mazingira ya kuonesha kuwa kila anayepotea amechukuliwa na Vyombo vya Dola. Tusitumie mihemko
Wewe ni ZWAZWA ama ndwanye?!!we ni mbumbumbu
nahisi unafikiri kwa njia ya makalioWewe ni ZWAZWA ama ndwanye?!!
Ya ma..m..o!nahisi unafikiri kwa njia ya makalio
IN SHAA ALLAAHTusubiri uchaguzi 2025 ndiyo mbivu na mbichi itajulikana.
Pengine uwezo wao wa kuelewa hayo anayoyasema spika ni mdogo ndio maana wanakimbilia mapovu ya matusi.shida yenu hamsomi majukumu ya spika,ni kuja hapa na kuporomosha lawama tu,acheni ujinga soma majukumu ya spika ni yepi
Tangu tupate uhuru wa Tanganyika, so far hakuna Spika aliyefikia kiwango cha Mh Dkt, Advocate Tulia.Leo ni mara ya pili unazuia wabunge kujadili hali hii mbaya ya utekaji na mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani na wananchi wa kawaida wakiwemo watoto! Mbaya zaidi unaisemea serikali kuliko Waziri Mkuu na mawaziri wengine.
Hivi unajua wajibu wako unapokuwa hapo kwenye kiti cha Spika? Wadhifa wako katika serikali ya Samia ni upi? M
Kwa kuikingia kifua serikali unadhani unamsaidia Rais Samia au unamfanya aonekane ni muuaji na mpenda madaraka? Huoni kuwa unampakaza Samia damu za wote wanaouawa na vyombo vya dola?
Kwa nini unamzuia Waziri Mkuu kujibu hoja kuhusu mauaji na utekaji unaoendelea kuwa tishio kwa wananchi? Kwa nini unawazuia wabunge kuiwajibisha serikali kwa maovu yanayoendelea? Hivi hufahamu kuwa wabunge wanasema kwa niaba ya wananchi na siyo serikali?
Kwa nini unaufanya muhimili wa Bunge kuwa chawa wa serikali? Huelewi kuwa wakiwajibishwa wote wanaofanya maovu haya serikali ya Samia itasafishika na kuepuka lawama ambazo hivi sasa zinaelekezwa kwake.
Tulia kwa nini unakuwa na roho ya kishetani namna hii halafu unajifanya mlokole TAG. Huoni unalipaka matope kanisa unalosali la Tanzania Assemblies of God?
PIA SOMA
- Spika Tulia: Tusiweke mazingira ya kuonesha kuwa kila anayepotea amechukuliwa na Vyombo vya Dola. Tusitumie mihemko
Kama ile PHD sio lolote nenda wewe ukawe spika, povu linakumwagika ukiwa wapi?.Utaahira wako ni wa kupita viwango vya kawaida! Unawezaje kuwa mtumwa wa fikra kiasi hicho! Ile PhD ya shetani Tulia unaiona ni kila kitu! Tulia huyu huyu muuaji ndiye reference yako ya usahihi wa mambo!
Ficha ujinga wako, mshenzi mkubwa!
ni kweliPengine uwezo wao wa kuelewa hayo anayoyasema spika ni mdogo ndio maana wanakimbilia mapovu ya matusi.