Tulia wewe ni Spika wa Bunge au ni Spika wa Serikali?

Waliosema sura siyo roho, wabadilishe. Huyu mama sura na roho yake ni sawasawa. Ni mwanamke ila anakuwa na roho ngumu, hana utu utasema hajapata mtoto kwa uchungu.

Tanzania hii mihimili ni geresha tu, yao yaende. Hakuna haki tukitegemea hii mihimili, itusimamie. Mtaelewa kwanini Gen Z wa Kenya, walifanya walichofanya.
 
Fumba macho na uishikilie simu yako barabara nikuombee dua njema ili uendelee na uthubutu wa kuwa mkweli.Aaamiiin!🙏😎
 
Hakika hatuna muhimili bali tuna makundi ya wasaka tumbo!
 
Jinsi alivyoanza kuingia bungeni unajua kabisa Tulia ni project ya CCM kudhibiti bunge
 
Sijui kama umeelewa
 
Onesmo Mushi anaandika "
Wakati mwingine najiuliza hivi Spika wa Bunge, @TuliaAckson , aliyepewa madaraka na Rais @SuluhuSamia baada kumnyang’anya madaraka hayo Spika #JOBNDUGAI ambaye alitenda kosa la kokusoa utendaji wa serikali ya Samia, anaweza kweli kuwa na uhuru wa kusema au kufanya tofauti na matakwa ya aliyempa nafasi?🤔🤔


Spika ambaye alimsikia Rais @SuluhuSamia akisema wazi “UKINIKUNA VIZURI NAMI NITAKUKUNA NA KUKUPAPASA HUKU NIKIKUPULIZA, LAKINI UKINIPARA NITAKUPARURA,” anaweza KUPARURA mgongo wa boss wake?🤔"
 
Kinyago cha mpapure
 
Una ushahidi gani kwamba maovu yanayoendelea kwenye jamii yetu chanzo chake ni serikali?. Hoja yako haina mashiko.

Spika Tulia amemzuia waziri mkuu kwa sababu hayo mauaji yanatokana na uchawi ambao ni mila na desturi zetu za kila siku, serikali inaingiaje kwenye suala zima la uganga wa jadi na mauaji yanayotokana na ushirikina?.

Spika alimjibu yule mbunge mwanamama wa upinzani kwamba vyanzo vya taarifa za mauaji ni tofauti na ni suala lenye kustahili kuchukuliwa hatua za kisheria nje ya bunge.

Huwezi kuweka commitment ya kibunge kwenye suala ambalo taarifa zake hazijakaa sawa.
 
Unapoteza muda wako kwa kutunza hasira bila ya sababu. Hoja nzima ya masuala ya mauaji iliingia bungeni kishabiki zaidi haswa kupitia taarifa za magazetini.

Spika hufanya kazi kwa ushahidi unaojitosheleza.
 
Unapoteza muda wako kwa kutunza hasira bila ya sababu. Hoja nzima ya masuala ya mauaji iliingia bungeni kishabiki zaidi haswa kupitia taarifa za magazetini.

Spika hufanya kazi kwa ushahidi unaojitosheleza.
Wee chawa mshenzi kaa kwa kutulia igange njaa yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…