Tulia wewe ni Spika wa Bunge au ni Spika wa Serikali?

bunge kibogoyo
nathubutu kusema sio uwezo mdogo wa huyo binti tulia inawezekana ana uwezo mkubwa nadhani tatizo ni tabia zake binafsi, ambazo zinatokana na makuzi kwao na maisha aliyochagua, ni nadra sana kwa mkristo kua na tabia zake na kwakua aliapa kwa biblia vyote ni ubatili, anachofanya ni kama kutumia ofisi ya umma inayojitegemea, kwa maslahi ya chama au shetani tujikumbushe aliapa kwa biblia.
 
 

Attachments

  • VID-20240830-WA0030.mp4
    3.6 MB
Huyu mwanamke hafai hata chembe kua spika wa bunge. Ni mtu wa kutafuta maslahi binafsi tena mroho wa madaraka. Pamoja na usomi ubinafsi umemtawala. Kumbuka ile sheria alisaidia kupitisha kwa hila kuhusu kuwapa Dubai bandari zetu. bunge ni baraza la uwakilishi kwa wananchi. Badala yake analifanya chombo kuilinda serikali kwa utendaji wake mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…