Tulia wewe ni Spika wa Bunge au ni Spika wa Serikali?

Utafikiri anakula sementi vile
 
Mimi nadhani Speaker sio tatizo, tatizo ni hao wabunge wanavyojenga hoja bila kuzingatia kanuni za Bunge.
Ubunge sio tu kushinda uchaguzi,bali jinsi utakavyoshiriki kujenga hoja.
Tatizo jingine ni communication skills katika lugha ya Kiingereza nayo ni shida.
Spika anauliza wabunge ni neno gani sahihi itumike kati ya shall or may na akitoa darasa tofauti ya maneno hayo mawili katika muswaada mmoja.
Ubunge sio kuzungumza kwa jaziba ni hoja yenye mashiko.
Nadhani English yetu ina walakini.Wabunge wajikite kujufunza lugha zote mbili English na Kiswahili kwa ufasaha wakiongezea na kujifunza sheria kwa wale wasio wanasheria.
 
Huyu mama sina hakika kama ni mtanzania ana roho ngumu saana kuwahi kutokea ana roho mbya saana sijawahi kuona ata yeye anaweza kuua mtu sio kawaida.
 
Ni Spika wa ccm.
 
Huyu mama sina hakika kama ni mtanzania ana roho ngumu saana kuwahi kutokea ana roho mbya saana sijawahi kuona ata yeye anaweza kuua mtu sio kawaida.
Nyayo za kina Muhagama.

Wanalinda ugali tu, nothing else
 
Bunge la Tulia na vikao vya Vikoba hawana tofauti.
 
Sura yenyewe tu ni kama ibilisi shetani akili itakuwaje sasa
 
Ndiyo maana kuna time wakati wa lile vuguvugu la bandari alipoenda kanisani kusali watu walimwachia benchi nzima peke yake kwa mambo kama hayo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…