Tuliachana vibaya, kila mtu amepiga hatua kwenye maisha yake, ila kawa mzuri zaidi

Tuliachana vibaya, kila mtu amepiga hatua kwenye maisha yake, ila kawa mzuri zaidi

Now mpe respect yake kama mke wa mtu,,,usifanye ukware wowote.
Ndio mkuu, i respect her and her marriage, mie pia niko vizuri ki upande wangu, nazani hizi zingine tamaa tu za kiume kwamba vizuri vyote tuvimiliki kwa pamoja. So siwezi kumuaribia ndoa yake na siwezi kuruhusu mtoto wangu azaliwe kwa watu wengine. Nikimla huyu namjua mke wangu nae watamla, ni kanuni ya dunia.
 
Watu wenye roho mbaya wana tabu sana. Kuna mzee mmoja ana nyumba ya biashara, akimpata mtu akampa, mtu yule akipambana biashara ikawa nzuri anamnyang'anya anafanya biashara hiyo hiyo halafu anafeli. Akishafeli anatafuta mtu wa kuichukua nyumba. Sasa hivi hakuna mtu anataka linyumba lake lipogo tu.

Sasa ww ushatamani kilichokushinda, angalia usiwe na roho mbaya ukakivizia, ukaivunja ndoa yake, akawa wako halafu mkashindwana tena huku kakuachia majanga maana hazivunjikagi kiwepesi tu, wakati mwingine muhusika huwa anadeal na mvunjaji.
Avunje ndoa ya mtu mzima mwenye akili tena msomi?

Akimoa uroda ni kwa utashi wake.
 
Avunje ndoa ya mtu mzima mwenye akili tena msomi?

Akimoa uroda ni kwa utashi wake.
Wanawake wakati mwingine wanaongozwa na mihemko kufanya maamuzi na ss wanaume wakati mwingi tunafanya maamuzi tukiongozwa na tamaa. Kwa hiyo equation ndogo, hawa wanaweza wakakutana wakajiaminisha wanapendana sana na hakuna imani yenye nguvu na matokeo ya kipuuzi kama imani ya sisi tupo inlove hata kama kila mtu ana ndoa yake.
 
Wanawake wakati mwingine hawana akili na ss wanaume wakati mwingi tunafanya maamuzi tukiongozwa na tamaa. Kwa hiyo equation ndogo, hawa wanaweza wakakutana wakajiaminisha wanapendana sana na hakuna imani yenye nguvu na matokeo ya kipuuzi kama imani ya sisi tupo inlove hata kama kila mtu ana ndoa yake.
🤣🤣🤣
 
Ndio mkuu, i respect her and her marriage, mie pia niko vizuri ki upande wangu, nazani hizi zingine tamaa tu za kiume kwamba vizuri vyote tuvimiliki kwa pamoja. So siwezi kumuaribia ndoa yake na siwezi kuruhusu mtoto wangu azaliwe kwa watu wengine. Nikimla huyu namjua mke wangu nae watamla, ni kanuni ya dunia.
🤣🤣🤣we kula mke wa watu na wako aliwe kwani kuna shida gani
 
Last week nilikutana na Ex wangu ambae tulikua tunaishi kama mke na mume zamani. Akiwa amemaliza chuo hana ramani, nikamwambia mama usipate shaka mumeo nipo nna kijikazi njoo tuishi, so tukaanza kuishi wote yaani ile happily ever after, so so happy.

Mwanamke wa haswa haswa, sasa tukawa tuna utata mmoja, binti kila siku ana fosi ndoa yaani kila siku ana fosi twende kwao tufunge ndoa chapu chapu, mie nikaona why huyu ana fosi? Kuna kitu tu lazima hii sio kawaida, maskini kumbe shetani alikua upande wangu, so nikawa namzimgua na nini, na ofcoz hii iwe elimu kwa mabinti wote pia kwamba mwanaume ukimpa kila kitu na mnaishi pamoja sasa akuoe ili uweze ku offer jambo gani jipya? Kaeni kwenu.

So hatukua na ishu kubwa wala zaidi ya ishu za ndoa, she fed up, akasema anaenda kwao huko, mie nikaona kawaida tu, ubize bize na harakati na nini dada wa watu kajiongeza huko akaolewa bwana na ki bopa yupo wizara ya afya.

Juzi tumekutana hapa mjini aisee aisee nilitamani kurudisha siku nyuma, binti kawa mzuri mara 50 ya pale alipokua mwanzo, kapendeza haswa, mzuri mnoo. Basi wote tuka-hug na kupiga stori za zamani na sasa, akalia sana why hatuku-oanaga! nikamwambia that is life.

Unakutana na ex wako unasema huyu ningemuoa huyu/au ninge olewa na huyu, leo tungewanyoosha sana hapa mjini, tungekua bonge moja la couple ila sad hatukuweza kuona from that far. Lakini tunakubali tulivyo navyo sasa ni bora sio? ndio maana tuko navyo.

Life
Vp uliomba hata kuonja mbususu pale guest au we domo zege mkuu
Kama uliacha nahisi amekuzalau vzr
 
Na ndo maisha, and it's ok

ila kama mdau wa kimasihara nilitegemea

"Nilivyomla ex wangu mke wa kibopa"
 
Back
Top Bottom