Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Bila picha hii comment yako ni batili π€£π€£π€£Inategemea mimi nina watoto 5 huwezi nidhania... π π π π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila picha hii comment yako ni batili π€£π€£π€£Inategemea mimi nina watoto 5 huwezi nidhania... π π π π
Ukisema wa ninππLast week nilikutana na Ex wangu ambae tulikua tunaishi kama mke na mume zamani. Akiwa amemaliza chuo hana ramani, nikamwambia mama usipate shaka mumeo nipo nna kijikazi njoo tuishi, so tukaanza kuishi wote yaani ile happily ever after, so so happy.
Mwanamke wa haswa haswa, sasa tukawa tuna utata mmoja, binti kila siku ana fosi ndoa yaani kila siku ana fosi twende kwao tufunge ndoa chapu chapu, mie nikaona why huyu ana fosi? Kuna kitu tu lazima hii sio kawaida, maskini kumbe shetani alikua upande wangu, so nikawa namzimgua na nini, na ofcoz hii iwe elimu kwa mabinti wote pia kwamba mwanaume ukimpa kila kitu na mnaishi pamoja sasa akuoe ili uweze ku offer jambo gani jipya? Kaeni kwenu.
So hatukua na ishu kubwa wala zaidi ya ishu za ndoa, she fed up, akasema anaenda kwao huko, mie nikaona kawaida tu, ubize bize na harakati na nini dada wa watu kajiongeza huko akaolewa bwana na ki bopa yupo wizara ya afya.
Juzi tumekutana hapa mjini aisee aisee nilitamani kurudisha siku nyuma, binti kawa mzuri mara 50 ya pale alipokua mwanzo, kapendeza haswa, mzuri mnoo. Basi wote tuka-hug na kupiga stori za zamani na sasa, akalia sana why hatuku-oanaga! nikamwambia that is life.
Unakutana na ex wako unasema huyu ningemuoa huyu/au ninge olewa na huyu, leo tungewanyoosha sana hapa mjini, tungekua bonge moja la couple ila sad hatukuweza kuona from that far. Lakini tunakubali tulivyo navyo sasa ni bora sio? ndio maana tuko navyo.
Life
π π π π π πBila picha hii comment yako ni batili π€£π€£π€£
Ila kama ndo wewe kwenye avatar ππππ π π π π π