Tuliachana vibaya, kila mtu amepiga hatua kwenye maisha yake, ila kawa mzuri zaidi

Now mpe respect yake kama mke wa mtu,,,usifanye ukware wowote.
Ndio mkuu, i respect her and her marriage, mie pia niko vizuri ki upande wangu, nazani hizi zingine tamaa tu za kiume kwamba vizuri vyote tuvimiliki kwa pamoja. So siwezi kumuaribia ndoa yake na siwezi kuruhusu mtoto wangu azaliwe kwa watu wengine. Nikimla huyu namjua mke wangu nae watamla, ni kanuni ya dunia.
 
Alikuzuga tu moyoni alikuwa anasema hii ngo'mbe haikurudi bush.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli lakini binaadam sisi unafki tunaujua au alikua anajisema "huyu mbuzi ndio nilikua nae kipindi kile kweli nilibugi..."
 
Avunje ndoa ya mtu mzima mwenye akili tena msomi?

Akimoa uroda ni kwa utashi wake.
 
Avunje ndoa ya mtu mzima mwenye akili tena msomi?

Akimoa uroda ni kwa utashi wake.
Wanawake wakati mwingine wanaongozwa na mihemko kufanya maamuzi na ss wanaume wakati mwingi tunafanya maamuzi tukiongozwa na tamaa. Kwa hiyo equation ndogo, hawa wanaweza wakakutana wakajiaminisha wanapendana sana na hakuna imani yenye nguvu na matokeo ya kipuuzi kama imani ya sisi tupo inlove hata kama kila mtu ana ndoa yake.
 
🀣🀣🀣
 
🀣🀣🀣we kula mke wa watu na wako aliwe kwani kuna shida gani
 
Vp uliomba hata kuonja mbususu pale guest au we domo zege mkuu
Kama uliacha nahisi amekuzalau vzr
 
Na ndo maisha, and it's ok

ila kama mdau wa kimasihara nilitegemea

"Nilivyomla ex wangu mke wa kibopa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…