Tuliachana vibaya, kila mtu amepiga hatua kwenye maisha yake, ila kawa mzuri zaidi

Unaweza usimle na mke wako akaliwa
 

Upuuzi, kalelewa huyo, angekuwa kaolewa na wewe angekuwa kachoka sana
 
Offcourse mwanamke anavyozidi kukua anakua mzuri balaa...tena akipata mume anaemjali uwiii...au nasema uongo madadaz...ma Ex wanapata muhaho
 
Mapenzi ndio yanataka hivyo kwanza mwanamke hatakiwi kupenda mwanamke akipenda hakuna mapenzi au hakuna ndoa kiufupi mwanamke akilazimisha ndoa tunaamini ana kasoro
 
Mlivyokutana hamkupasha kiporo.

Hapo sex huwa inakuwaga tamu sana maana mnatombana mkiwa na hisia kuwa hamjui mtaonana lini tena na kukumbushia mautundu yenu
 
Tamaa ya upumbavu wa mwanamke mjinga hapo anaweza akashawishika akaharibu ndoa yake aolewe na ex wake, then akishaachika na ex nae uingia mitini ukosa vyote zaidi ya majuto.
Kama hamkuoana hakuwa wako
 
Wanaume wengi tumepitia huko ila fahamu kwamba wanawake hawaishi na kuna wazuri zaidi yale na waliotulia....Tafuta hela utampata mwanamke yoyote unayemtaka mwenyewe.....Usipokuwa na hela huwezi pata unachotaka....
 
Offcourse mwanamke anavyozidi kukua anakua mzuri balaa...tena akipata mume anaemjali uwiii...au nasema uongo madadaz...ma Ex wanapata muhaho
Kumkuta ex kazidi kuchanua ni dharau kubwa sana [emoji23][emoji23]
 
mkuu naomba kukuuliza hapa kwa kanuni hii ya kidunia ,ukila wa watu wako ataliwa ,inamana wote waloliwa wake zao na wao walikula wake za watu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…