Tuliambiwa huyu amesilimu. Sisi huwa tunapenda sana kujidanganya

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
FaizaFoxy sheikh gani alikuambia Ronaldo amesilimu? Maana masheikh wengi shule hamna. Na msingi wa imani yetu umejengwa kwenye ulaghai, udanganyifu kwa umma.

Screenshot_2025-12-01-08-08-32-413_com.instagram.android~2.jpg
 
Hakuna mtu mwenye akili anaweza kuwaamini Allah na matapeli wake kama Muhammad, Mwamposa na wapumbavu wengine.
muhammad na mwamposa wapi na wapi? Mwamposa ni wa hapo tanganyika packers, muhammad ni wa dunia nzima, usilinganishe mlima na kichunguu
 
Huyo kibibi ajuza,nasikia alienda na maji kama yule shehe sharifu majini.
 
Kama hakwenda shule alijuaje kusoma neno ndani ya sinagogi?
Bora ukose shule kuliko kukosa akili kama ulivyo wewe na viongozi wako , maana hata YeU (Amani iwe juu yake ) hakuenda shule ila akili anayo.
 
Muddy yeye hata kusoma na kuandika alikuwa hajui. Umalaya na uuaji ndo ulimjaa... Alioa mpaka wake wa watoto wake wa kufikia. Ndo maana alikufa kwa ngoma.
 
Kama hakwenda shule alijuaje kusoma neno ndani ya sinagogi?
Haya nitajie shule aliyosoma ?

Kwani kujua kusoma au kuwa na Maarifa ni lazima uende shule ?

Hata Mimi si naweza kunfundisha mwanangu bila kumpeleka shule na akaelewa vizuri ?

Wengine mbona kusoma wanejua nyumbani tu bila shule yeyote?
 
Muddy yeye hata kusoma na kuandika alikuwa hajui. Umalaya na uuaji ndo ulimjaa... Alioa mpaka wake wa watoto wake wa kufikia. Ndo maana alikufa kwa ngoma.
Ukiwa mjinga kiasi hiki haustahili kujibiwa
 
Alisoma Nazareth primary school je unaifahamu?

Utamharibu mwanao kumfundisha home kisa unaiga kwa Yesu. Umepanic sana kwa kutoa boko la kutaka kulinganisha elimu ya Yesu na ya issa sijui isack ni watu wawili tofauti
Haya nitajie shule aliyosoma ?

Kwani kujua kusoma au kuwa na Maarifa ni lazima uende shule ?

Hata Mimi si naweza kunfundisha mwanangu bila kumpeleka shule na akaelewa vizuri ?

Wengine mbona kusoma wanejua nyumbani tu bila shule yeyote?
 
Alisoma Nazareth primary school je unaifahamu?

Utamharibu mwanao kumfundisha home kisa unaiga kwa Yesu. Umepanic sana kwa kutoa boko la kutaka kulinganisha elimu ya Yesu na ya issa sijui isack ni watu wawili tofauti
Weka Ushahidi wa Kusoma hiyo Nazareth Primary school.

Simuharibu , mbona shuleni na mavyuo watoto ndio wanaharibikiwa wengi ?
 
Ushahidi upi wakati ulitaka jina la shule nenda kaisake sasa mkuu.

Lakini wanajua kusoma na kuandika bila kutafuta mtu wa kuwasaidia.

Kwani dhambi ikiwa mwanzo ukitaka kitu Fulani Kisha kuomba kingine ?

Ushahidi wa kwamba Yesu ( Amani iwe juu yake ) alisoma Nazareth Primary school.

Hata mimi naweza kumfundisha mtu akajua kusoma na kuandika, kujua kingereza na Maarifa ya ziada bila kumpeleka shule .
 
Amani gani iwe pamoja nae wakati Yesu yupo hai? Chukua biblia soma agano jipya vitabu vyake vyote kisha uje hapa udai ushahidi

Si unapenda ushahidi haya sasa Leta ushahidi wa video ukimfundisha mtu mpaka akajua kusoma bila kwenda shule

Back
Top Bottom