Sajo
Platinum Member
- Nov 8, 2010
- 4,540
- 8,256
Na wewe unakuwa hujaenda shule pia?Kwani dhambi ikiwa mwanzo ukitaka kitu Fulani Kisha kuomba kingine ?
Ushahidi wa kwamba Yesu ( Amani iwe juu yake ) alisoma Nazareth Primary school.
Hata mimi naweza kumfundisha mtu akajua kusoma na kuandika, kujua kingereza na Maarifa ya ziada bila kumpeleka shule .