GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
- Thread starter
-
- #101
Mzee wa kupambania hebu tujibu hapa 🤣🤣Ee inawezekana kabisa, mbona hata hapa Tz infinix inauzika sana kuliko Iphone na Samsung, sasa ndo kusema Infinix ni bora kuliko Iphone au Samsung?
Mchina hajawahi kuwa serious katika uzalishaji wa bidhaa zakeSawa watetee ila ukweli mnaujua
Wachina watu wa hovyo sana
Hayo mambo mimi nimeshuhudia na nina kuambia kwa facts. Ila siwezi kubishana wala kutetea nchi yeyote. Jua tu makampuni mengi ya ulaya yanafanya research kubwa sana. Kampuni kama Siemens, Bosch ziko mbele sana.Kama ni kuwekeza kwenye R&D hakuna taifa lolote Ulaya limeizidi China
Ukitoa Marekani nafasi ya pili ni China
Kwahiyo Huawei na Tiktok nao wanatengeneza magari mabovu? Ni vita za kiuchumi hizo wewe…Unajua kwanini hizo kampuni zimepigwa marufuku kuuza gari zao USA?
Ila wewe mwafrika mpenda vya dezo na bei rahisi nunua baada ya miezi 3 unaweka uwani unarudi kwenye passo na ist
Vita za kiuchumi gani na wewe wakati malalamiko yametolewa na mwananchi wa nchi mwanachama wa BRICS China akiwemoKwahiyo Huawei na Tiktok nao wanatengeneza magari mabovu? Ni vita za kiuchumi hizo wewe…
MImi naongelea takwimu. Mfano kwenye telecom SIEMENS hawajaifikia HUAWEI kwenye budget ya R&DHayo mambo mimi nimeshuhudia na nina kuambia kwa facts. Ila siwezi kubishana wala kutetea nchi yeyote. Jua tu makampuni mengi ya ulaya yanafanya research kubwa sana. Kampuni kama Siemens, Bosch ziko mbele sana.
Sijaelewa mazungumzo yenu yanahusu niniMzee wa kupambania hebu tujibu hapa 🤣🤣
Acha uongo ulaya ndo soko kubwa kuliko Africa, sisi tuna ahela ganiBenz ni fahari ya mjerumani yaani kama wimbo wao wa Taifa
Wengi wametaka kununua ila mjerumani kagoma kuiuza
Mhindi kanunua Range ila sio Benz
Mchina baiskeli za umeme zinalipuka kila leo, ila uzuri magari yao hakuna ulaya
Africa tutanunua kwa kitonga chake tu
Ukute hapo unatumia simu ya Made in China🤣🤣🤣Mchina haaminiki,anabahatisha..hawezi kuwa na consistency ya ubora.
Kifupi tu kumwini mchina ni kujiweka rehani tu
Ahela ndio nini hebu tuanzie hapoAcha uongo ulaya ndo soko kubwa kuliko Africa, sisi tuna ahela gani
Nina FAW, inapiga mzigo hatari!Unaamini kabisa gari za wachina? Haya
Bidhaa na huduma nyingi za China zinapigwa pini, ni vita ya uchumiVita za kiuchumi gani na wewe wakati malalamiko yametolewa na mwananchi wa nchi mwanachama wa BRICS China akiwemo
Tiktok na huawei wanatengeneza magari gani?
Kuna hizi dumper za FAW, HOWO na SHACMAN hapa Mchina alitengeneza gari za kaziNina FAW, inapiga mzigo hatari!
View attachment 2984571
Na bei zao ni poa!Kuna hizi dumper za FAW, HOWO na SHACMAN hapa Mchina alitengeneza gari za kazi
Siwezi kubishana na wewe maana nimesema hapo juu ninasoma Masters in Industrial Engineering na nimekwambia kila kampuni inafanya Research and Development huku Ulaya. Na wachina wanatumia technology nyingi za Ujerumani sana sana kwenye consultation. Nimeongea ninachokijua na sio ku-google. Uwe na siku njema.MImi naongelea takwimu. Mfano kwenye telecom SIEMENS hawajaifikia HUAWEI kwenye budget ya R&D
HUAWEI ametumia $23 bln kwenye R&D wakati SIEMENS wametumia $6 bln
HUAWEI wamekuwa wa kwanza kuanza na 5G commercial chip kabla ya SIEMENS, ERICSSON na nyingine za Ulaya
Na sasa hivi HUAWEI wamefungua R&D center Shanghai kwa ajili ya kuanza kutengeneza lithography na fab equipment
Na bado haukunijibu swali langu kati ya China na zile nchi za Ulaya ulizotaja ni nani anaongoza kwenye spacecraft technology?
Bila kumsahau baba lao BEIBENKuna hizi dumper za FAW, HOWO na SHACMAN hapa Mchina alitengeneza gari za kazi