MImi naongelea takwimu. Mfano kwenye telecom SIEMENS hawajaifikia HUAWEI kwenye budget ya R&D
HUAWEI ametumia $23 bln kwenye R&D wakati SIEMENS wametumia $6 bln
HUAWEI wamekuwa wa kwanza kuanza na 5G commercial chip kabla ya SIEMENS, ERICSSON na nyingine za Ulaya
Na sasa hivi HUAWEI wamefungua R&D center Shanghai kwa ajili ya kuanza kutengeneza lithography na fab equipment
Na bado haukunijibu swali langu kati ya China na zile nchi za Ulaya ulizotaja ni nani anaongoza kwenye spacecraft technology?