Tuliambiwa pesa za tozo za simu ndio zitatumika kwenye miradi ya afya na elimu sasa fedha za IMF je?

Ogopa sana matapeli (CCM).

Mama alipewa dola milioni 450 ambazo ni zaidi ya Trilion moja kufidia hasara/athari ya Corona, Muulize ziko wapi. Hiyo ilikuwa mwezi wa 5 mwaka huu.
Na mbado huku mikoani hata hazipo sijuizipo wapi
 
Wabunge ndo walewale hawana uwezo wa kuhoji
 

 
Viongozi wanaendesha nchi ki propaganda sana, hayo madeni ambayo wanadaiwa na hawajayapatia ufumbuzi

Wnakopa hela kwa maslahi yao binafsi afu mwisho wa siku deni linatajwa kua ni la nchi, WTF?
 
Tulia wewe, ulitaka waseme waziwazi kuwa wanapiga hela za tozo za miamala??
 
Ogopa sana matapeli (CCM).

Mama alipewa dola milioni 450 ambazo ni zaidi ya Trilion moja kufidia hasara/athari ya Corona, Muulize ziko wapi. Hiyo ilikuwa mwezi wa 5 mwaka huu.
labda ziko kwenye kibubu cha kampeni 2025
 
Ukichunguza kwa makini pesa za mkopo wa IMF zimekaa kiulaji kwa watu wachache ndo maana zimepelekwa kwenye ujenzi ili watu watengeneze vikampuni vyao vya ujenzi wakinge mshiko. Kwenye hotuba mama kasema taratibu za kawaida za manunuzi zisifuatwe ili mambo yakamilike haraka maana muda ni mfupi miezi tisa tu, pesa nyingine itaenda kwenye utalii ambako nako haijaainishwa itatumikaje............kwa hiyo ni full ulaji. Huwezi ukawa na stimulus plan ya namna hiyo inayolenga watu wachache. Nilitegemea pesa ingepelekwa kwenye ruzuku kwa ajili ya pembejeo za kilimo na kuwalipa watumishi increment zao. Kuna watumishi kibao hawakupandishwa madaraja kwa uzembe na roho mbaya ya maafisa utumishi. Pamoja na waziri Mchengelwa kuelekeza waondolewe kwenye nafasi zao na washushwe vyeo hasa kwenye wakala za serikali naona wapo tu wanadunda......hii nchi bado inapitia kipindi kigumu, bado hatujapata mtu sahihi wa kutuongoza pamoja na kwamba kuna watu walifurahia kifo cha magu....​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…