twambie basi wewe hiyo mikopo inalipwa na pesa zipi?Wewe ndio utazipeleka hizo pesa kulipa hiyo mikopo? Au umejiskia kutema shudu tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
twambie basi wewe hiyo mikopo inalipwa na pesa zipi?Wewe ndio utazipeleka hizo pesa kulipa hiyo mikopo? Au umejiskia kutema shudu tu?
Na mbado huku mikoani hata hazipo sijuizipo wapiOgopa sana matapeli (CCM).
Mama alipewa dola milioni 450 ambazo ni zaidi ya Trilion moja kufidia hasara/athari ya Corona, Muulize ziko wapi. Hiyo ilikuwa mwezi wa 5 mwaka huu.
Zile trilion moja walisema watajenga shule mpya elfu moja nchi nzima. Huku napoishi sijaona hata shule mpya moja, hata msingi tu, sijui huko!
Baadae wakasema, tozo za miamala zitatumika kuboresha afya, elimu, barabara za mijini na vijijin etc.
Leo wamekuja na taarifa kwamba, watajenga madarasa elfu 15 kwa fedha za IMF.
Nani atusaidie kuhoji huko mamlakani ili tupate ufafanuzi kati ya fedha zile kutoka World Bank na hizi za IMF?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wanakula Tam Tam Kama Asali Watakumbuka Nini TenaWabunge ndo walewale hawana uwezo wa kuhiji
b
Waziri wa Fedha awe mkweli maana kama kajisahau vile anaendelea kutoa hotuba, alituambia fedha za tozo zitahusika kwenye Ujenzi wa madarasa na huduma za afya, leo hii fedha walizopewa na IMF anataja miradi ile ile kwamba ndio itakayo tekelezwa, huenda labda mm sijaelewa vizuri pamoja na kuwa nina experience ya ufadhili wa miradi kwamba mnaweza mkawapa wafadhili 3 ripoti ya mradi 1 ila kila mtu akawa alitoa peza za mradi huo huo.
Huenda sijaelewa kwamba fedha za tozo zitafanya kazi gani vile na hizi za IMF zitafanya kazi ipi vile.
Wakumbuke Wastaafu HAWAJALIPWA MAFAO yao sasa ni miezi 12 na zaidi kwa wengine.
pesa zote za IMF ni mkopo hivyo basi tozo zinatumika kulipa huo mkopo,na mikopo mingine iliyokuepo
labda ziko kwenye kibubu cha kampeni 2025Ogopa sana matapeli (CCM).