scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
Ili popoma halikutakiwa kuwa hata nominated yaani lina utoto mwingi sana,sijui ni mtu wa aina gani huyuWe bwege kweli,,wewe si ndio umekuja hapa unajisifu mmefanya uchawi ya kwamba Raja hatoki kwa mkapa na wewe umeshiriki kwenye tukio hilo kikamilifu[emoji3]
Kwa porojo zako hizi halafu watu eti wameipigia kura Id yako ile kwamba ndio mwanamichezo bora jukwaa hili niliwashangaa sana wanajf,waliokupigia kura wanawakilisha jamii kubwa ya watz wapenda majungu,umbea na porojo kama wewe mleta mada