Tulianza kuwasha moto Afrika Kusini, leo basi limeingia kinyumenyume! Tumebakiza kutoa haja kubwa tu viwanjani ili tushinde

We bwege kweli,,wewe si ndio umekuja hapa unajisifu mmefanya uchawi ya kwamba Raja hatoki kwa mkapa na wewe umeshiriki kwenye tukio hilo kikamilifu[emoji3]

Kwa porojo zako hizi halafu watu eti wameipigia kura Id yako ile kwamba ndio mwanamichezo bora jukwaa hili niliwashangaa sana wanajf,waliokupigia kura wanawakilisha jamii kubwa ya watz wapenda majungu,umbea na porojo kama wewe mleta mada
Ili popoma halikutakiwa kuwa hata nominated yaani lina utoto mwingi sana,sijui ni mtu wa aina gani huyu
 
We bwege kweli,,wewe si ndio umekuja hapa unajisifu mmefanya uchawi ya kwamba Raja hatoki kwa mkapa na wewe umeshiriki kwenye tukio hilo kikamilifu[emoji3]

Kwa porojo zako hizi halafu watu eti wameipigia kura Id yako ile kwamba ndio mwanamichezo bora jukwaa hili niliwashangaa sana wanajf,waliokupigia kura wanawakilisha jamii kubwa ya watz wapenda majungu,umbea na porojo kama wewe mleta mada
Aliyepigiwa kura ni popoma sio huyu
 
Timu ya Tajiri #13 Afrika inafanya Mambo ya Kipumbavu na Aibu kabisa halafu bado unataka Mwenyezi Mungu aibaeiki ishinde.

Tulichokibakiza sasa kutokana na Kuamini Kwetu Uchawi ni Kuwaambia tu Wachezaji wakiongozwa na Babu (Mzee) Joash Onyango wajitahidi kujisaidia uwanjani kwa Mkapa ili tushinde / washinde.

Hovyo kabisa.
We kweli sigara kali
 
We bwege kweli,,wewe si ndio umekuja hapa unajisifu mmefanya uchawi ya kwamba Raja hatoki kwa mkapa na wewe umeshiriki kwenye tukio hilo kikamilifu😀

Kwa porojo zako hizi halafu watu eti wameipigia kura Id yako ile kwamba ndio mwanamichezo bora jukwaa hili niliwashangaa sana wanajf,waliokupigia kura wanawakilisha jamii kubwa ya watz wapenda majungu,umbea na porojo kama wewe mleta mada
Yaaah huyo anastaili kuitwa bwegge au Fwallah
 
Wewe ndie ulikuwa ukijisifu kwa huo ujinga ukisema game imeisha, haya sasa naona tena unawakana wenzako[emoji1787][emoji1787]
 
Mwamba huyu hapa
IMG_20230219_065549.jpg
 
We bwege kweli,,wewe si ndio umekuja hapa unajisifu mmefanya uchawi ya kwamba Raja hatoki kwa mkapa na wewe umeshiriki kwenye tukio hilo kikamilifu😀

Kwa porojo zako hizi halafu watu eti wameipigia kura Id yako ile kwamba ndio mwanamichezo bora jukwaa hili niliwashangaa sana wanajf,waliokupigia kura wanawakilisha jamii kubwa ya watz wapenda majungu,umbea na porojo kama wewe mleta mada

Mkuu.

Huyu mtu ni TATIZO sana, analopoka lopoka mno.

Nahisi Huwa kinampanda.
 
Timu ya Tajiri #13 Afrika inafanya Mambo ya Kipumbavu na Aibu kabisa halafu bado unataka Mwenyezi Mungu aibaeiki ishinde.

Tulichokibakiza sasa kutokana na Kuamini Kwetu Uchawi ni Kuwaambia tu Wachezaji wakiongozwa na Babu (Mzee) Joash Onyango wajitahidi kujisaidia uwanjani kwa Mkapa ili tushinde / washinde.

Hovyo kabisa.
Sio wewe uliyekuwa unasema unafanya ulozi uwanjani Simba ishinde?
Si wewe uliyetetea sana uwepo wa kocha mzungu?
Unalalamimika nini na ilijulikana kabisa nini kitatokea?!!
 
We bwege kweli,,wewe si ndio umekuja hapa unajisifu mmefanya uchawi ya kwamba Raja hatoki kwa mkapa na wewe umeshiriki kwenye tukio hilo kikamilifu😀

Kwa porojo zako hizi halafu watu eti wameipigia kura Id yako ile kwamba ndio mwanamichezo bora jukwaa hili niliwashangaa sana wanajf,waliokupigia kura wanawakilisha jamii kubwa ya watz wapenda majungu,umbea na porojo kama wewe mleta mada

Huyo popoma ujuaji mwingi.
 
Timu ya Tajiri #13 Afrika inafanya Mambo ya Kipumbavu na Aibu kabisa halafu bado unataka Mwenyezi Mungu aibaeiki ishinde.

Tulichokibakiza sasa kutokana na Kuamini Kwetu Uchawi ni Kuwaambia tu Wachezaji wakiongozwa na Babu (Mzee) Joash Onyango wajitahidi kujisaidia uwanjani kwa Mkapa ili tushinde / washinde.

Hovyo kabisa.
Tangu lini Makolo iliwahi kuwa tiny Bora zaidi ya kununua waamuzi na kuwanunua tiny pinzani wenye njaa!! Tuliza Mshindo jombaa
 
Timu ya Tajiri #13 Afrika inafanya Mambo ya Kipumbavu na Aibu kabisa halafu bado unataka Mwenyezi Mungu aibaeiki ishinde.

Tulichokibakiza sasa kutokana na Kuamini Kwetu Uchawi ni Kuwaambia tu Wachezaji wakiongozwa na Babu (Mzee) Joash Onyango wajitahidi kujisaidia uwanjani kwa Mkapa ili tushinde / washinde.

Hovyo kabisa.
Haya bana
 
Kuna kipindi unakuwa kama "unusu kasarobo" hivi!Hebu jifunze muda mwingine kujituliza kama kasuku!Acha ujingaujinga!
 
Back
Top Bottom