Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Nyege inazidi nguvu ya uchawi si mchezo
 
Tumvumilie zaidi. Kuna kona moja ya nchi saa hii wanaishi zama za rais ni mwinyi

Niamini
 
Enhee
 
Ndugu zangu kuna muda huwa nasoma komenti za wadau hasa wapumbavu,nabaki tu nacheka kama mazuri vile[emoji23][emoji23].
Yaani eti leo mwaka 2022 mtu anashangaa mwaka 2004 hakuna mtu aliyekuwa anamiliki ng'ombe zaidi ya elfu 10!,Seriously kabisa Unashangaa!?.

Yaani miaka kama 20 iliyopita mtu kumiliki ng'ombe zaidi ya elfu 10 wewe unashangaa?,kuna muda akili ya baadhi ya vijana wa Tanzania zinahitaji kupelekwa gereji na kusukwa upya![emoji23][emoji23][emoji23].
Hivi mmetembea kweli kwenye hii nchi na mkajionea maisha ya watanzania wenzenu au mnaishi tu huko Daslam na mnabisha bisha tu kama kuchangamsha genge?.

Nenda hapo loliondo,longido na huko kiteto ukajionee wamasai wanavyomiliki ng'ombe wa kutosha!,na hiyo ni miaka hii tu ambapo mahitaji ya maisha yameshakuwa makubwa!.

Kama hujawahi kutembea kwenye hii nchi na maisha hukuwahi kuyaishi usiwe unasimama mbele ya wanaume unaanza kubisha,utachekwa[emoji23][emoji23].

Mpumbavu mmoja anahoji kuhusu mimi kulipia shilingi 100 kuingia bandani,yaani zaidi ya miaka 18 unahoji huu ujinga?,una habari mwaka huo wa 2004 mpaka shilingi kumi ilikuwa inanunua nyanya na vitunguu?,una habari mwaka huo shilingi tano ilikuwa unanunua pipi?,Sasa kama shilingi kumi ilikuwa na thamani ya kununua nyanya iweje shilingi mia ionekane ndogo?

Na ndiyo maana nasema ndugu zangu,kuna vijana wanafanya hili taifa vijana wote tuonekane wapumbavu!.[emoji23][emoji23]

Mtu huyo huyo anahoji wanafunzi 12 kufaulu wote kwenda form 6 lakini anashindwa kuhoji leo wanafunzi zaidi ya 100 kwenye shule moja kufaulu kwenda form 6![emoji23][emoji23],Yaani unataka kuniambia wanafunzi wa enzi zile hawakuwa na akili mpaka wanafunzi 12 kufaulu unashangaa.

Mimi nimesoma shule ya kata masomo ya Sayansi PCB na shule niliyosoma haikuwa na maabara(laboratory)lakini nikafaulu kwa divesheni 2,kwahiyo hili nalo utahoji?[emoji23][emoji23].

Aiseee kama taifa bado tunasafari ndefu sana!
T14 Armata wewe ni punguani [emoji12]
 
Mkuu usijibishane na wapuuzi. Tuendelee na story
 
achana nao wehu hao
 
Bwana achanao tupe raha sisi
 
Sukari nusu ilikuwa 250, mkate mzima ilikuwa mia mbili, Mimi Kodi ya meza nilikuwa naacha elfu tatu au elfu tano home, Tena kipindi iko ela nnayo kiiasi, mchele supa ilikuwa mia tano au Mia sita kg
 
D
Dah mzee naona unazidi kutupeleka mbali tu ni nilijua ni story ya single seating kumbe inazidi kuongeza episodes tu.., anyway tupe story umughaka
 
Sasa hili mbna uneshaoitolea ufafanuz ,muda mrefu nakuona unabishana kuhusu hyo Mia 100 kwa kipindi kile Sasa yanin ueleze kwa urefu Kia's hiki c Bora ungetumia muda huu kuandika story yako na Kisha kuimaliza kwa wakati

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nini kikafuata mkuu? Tuendelee isijekua ulipiga threesome😋😋😋
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…