Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Endelea boss kimya sana
 
Unamshika mamdg tackle[emoji23][emoji23]
 
Pale kwenye kuelezea Monica umesema sura tu inambeba

Ulimaanisha ilimbeba kumfanya aonekane mkubwa huku ni mdogo au ilimfanya aonekane mzuri?

Najiuliza sababu ulisema sura yake ya baba ila kajaaliwa tako tu
 
Mkuu Panzi Mbishi hebu uwe unasoma kwa makini,niliye eleza anasura mbovu lakini umbo lilimbeba ni Mwise.
 
Mkuu Pro NATO wote akili kisoda, achana naye

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ishia hapo hapo..fungua telegram/whatsap upige pesa?Anayetaka muendelezo achangie japo vocha..(kuna mdau kashasonya tayari)..ni utani tu jamani..🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…