Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Acha ujinga.Unasimulia mambo mengi ya kulakula tu.Halafu kutudanganya kwamba kiingilio cha kutazama video ilikuwa Tsh 100/= umeona hatuna akili?Shule za kata zimeanza mwaka 2006 kujengwa.Tsh 100/= ilikuwa na thamani hiyo?Acha ungedere.
Mkuu shule za kata zilianza kujengwa 2004 na siyo na 2006
 
Acha ujinga.Unasimulia mambo mengi ya kulakula tu.Halafu kutudanganya kwamba kiingilio cha kutazama video ilikuwa Tsh 100/= umeona hatuna akili?Shule za kata zimeanza mwaka 2006 kujengwa.Tsh 100/= ilikuwa na thamani hiyo?Acha ungedere.

Daaaah inabidi kwanza nicheke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwamba shule za kata zimeanza kujengwa mwaka 2006,uwiiiiiiiiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Haki kama ndizo akili hizi familia zenu zinashida sana na omba usije ukapata mtoto akarithi akili zako bora angalau arithi za mama yake zinaweza kumsaidia[emoji23][emoji23].

Hivi ulikuwa unajua MPANGO WA MAENDELEO WA ELIMU YA MSINGI(MMEM) na MPANGO WA MAENDELEO WA ELIMU YA SEKONDARI(MMES),Yale madarasa yalianza kujengwa miaka gani?,ukijua hilo basi jibu utapata Ngedere jike wewe,Kupitia mipango hiyo ndipo tulipata shule za kata Ngedere jike wewe!,

Tamko rasmi lilitolewa na aliyekuwa Rais wa Tanzania wa wakati huo Hayati Benjamini Mkapa mwaka 2000 na utekelezaji wake ukaanza Mwaka 2001,sasa tahira kama wewe unakuja bila aibu unasema shule za kata zimeanza mwaka 2005[emoji23][emoji23][emoji23].

Aisee hili Taifa kumbe bado linavijana wapumbavu kiasi hiki[emoji23][emoji23][emoji23].

Halafu hebu njoo utuambie huo mwaka 2004 nyie mlikuwa mnalipa shilingi ngapi kwenye mabanda ya mpira,njoo hapa Moisemusajiografii utueleze![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu weka story tumjue mchawi mlivyomfanya
 
Hayo maandishi meengi kwa ajili ya nini?Acha upambaff!
 
Hii ni hadithi au story?
 

Bro Achana naye huyo. Humu JF much knows ni wengi na hawajui kitu. Nimeanza form 1 shule ya kata Mwaka 1997 na hiyo shule ilijengwa 1994 kule Morogoro vijijini sasa anabisha na Mgeta Secondary ni shule ya Kata imeanza 1992.

Sasa anashangaa kuingia kwenye vibanda umiza kwa 100 wakati tumeangalia marudio ya mechi ya Simba na Stela Abdijan kwa Tsh 10 mwaka 1993. Sukari tumepanga foleni kununua na Soda hizi tumenunua Tsh 50. Watoto wa juzi 2000's
 
Hivi muwe mnajielewa.Kuna shule iloyopo kwenye kata na shule zilizojengwa maalum kwa ajili ya kuziba upungufu wa shule za sekondari miaka ya kati ya 2000(2004-).Sasa kama form nyoya ulikuwa mwaka 1997,ndiyo ubishane na mimi babu yako.Idiot!
 
Mgeta nakufahamu,tuoneshe mchawi kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…